Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1516228612706_lc_galleryImage_vlcsnap_2018_01_17_22h34m.JPG


1516227225007_lc_galleryImage_Chelsea_s_Willian_goes_do.JPG


1516226775242_lc_galleryImage_vlcsnap_2018_01_17_21h57m.JPG
 
4 – Michy Batshuayi is the third player to score in four different competitions for a @premierleague club this season, after Sergio Aguero and Romelu Lukaku. Assortment.

1:12 PM - 17 Jan 2018

1516223982032_lc_galleryImage_Chelsea_V_Norwich_FA_cup_.JPG
 
1993 - Norwich haven't won away at Chelsea in any competition since October 1993 (D1 L7 since), winning 2-1 in the Premier League with goals from Chris Sutton and Ruel Fox. Distant. [HASHTAG]#CHENOR[/HASHTAG]

1516222009893_lc_galleryImage_LONDON_ENGLAND_JANUARY_17.JPG
 
Uliangalia the whole game + extra time?
Huenda ikawa sababu then...baada ya dakika 90 niliangalia dakika 15 za mwanzo za nyongeza baada ya hapo nikaenda kwa kikao.

Kama kuna miujiza mingine alifanya (nimeona alivyopangua penalty - youtube) inawezekana akastahili.
 
gettyimages-903265640.jpg

Kwa nini Chelsea wanamwachia mfungaji mzuri kama huyu kwenda Arsenal?
Kwa hiyo sasa nyuma yetu atakuwepo Kane na Pierre-Emerick Aubameyang
Kweli tutabakia top 4, timu zote kuanzia Mancity, Manu, Liverpool, Spurs na sasa Arsenal wameweka visu vikali mbele, sisi hakuna linaloendelea
 
gettyimages-903265640.jpg

Kwa nini Chelsea wanamwachia mfungaji mzuri kama huyu kwenda Arsenal?
Kwa hiyo sasa nyuma yetu atakuwepo Kane na Pierre-Emerick Aubameyang
Kweli tutabakia top 4, timu zote kuanzia Mancity, Manu, Liverpool, Spurs na sasa Arsenal wameweka visu vikali mbele, sisi hakuna linaloendelea
 
Ni aibu kusema hongera bro, +tive ni kuwa Caballero ni kipa haswaaa
Mm nilipo Ona tunaingia matuta nilienda kulala zangu.... Nilichokiona Jana kiungo hakuna maelewano.... Hapa kuwepo na umuhimu wa kumuuza chalobah,traore na kumtoa kwa mkopo lotufs, tamy... Kiwango cha viungo walio ondoka ni kizuri kuliko drinkwater na bakayoko... Na tamy anaweza kuwa mzuri kuliko morata na bats man akipata mafunzo vizuri....... Musonda angeingia badala YA Pedro...... Pedro, zapacosta na wiliian walichoka kuanzia dakik YA 70...... Morata hakuna kitu wala tusiweke tumaini kwake.... Conte anacheza kamari bila Shaka sio kwa upangaji wa kikosi na usajili wake anao angaika nao
 
Hivi Bakayoko ni better than Loftus-cheek kweli? Hivi Batshuayi ni better than Traole? Tumezingua sana kwa hawa hapa... Halafu tunamtafuta Carrol.
Tatizo hao hawakuuzwa na Mourinho
 
Ssa conte naye coach hakuna kitu pale bora hata carlo ancelot kuliko huyu acy jua kusajiki anakuwa na visasi kam mwanamke
 
Ssa conte naye coach hakuna kitu pale bora hata carlo ancelot kuliko huyu acy jua kusajiki anakuwa na visasi kam mwanamke


Unasema Hanna Kocha Wakati Last Season Mulimsifia Kuwa Ni Binge la Kocha Kachukua Kombr Msimu wake Wa Kwanza tu Aliotua EPL?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom