Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hizi taarifa mkuu lyon mi naomba ziendelee kuwa tetesi na sio halisi
Karol sio daraja la chelsea
Nenda kwenye team yoyote chukua mshambuliaji lakini sio karol
Najiuliza hii ni akili ya conte au ni vipi
Watumie pesa yupo belote wa torino
Conte unajua anatakiwa kufikizwa mapema sana k imemshinda
 
Tetesi

Chelsea wamezungumza na West Ham kuhusu kumsaini mshambuliaji wa miaka 29 Andy Carroll kwa mkataba wa kudumu. (Telegraph)
West Ham wanataka kuskiliza ofa ya pauni milioni 20 kwa Carroll. (Sky Sports)
 
Wachezaji wamekata tamaa
Kocha kakata tamaa na kachoka yupo tu amalize msmu
yaani hadi Norwich anatuaumbua
Hivi Bakayoko ni better than Loftus-cheek kweli? Hivi Batshuayi ni better than Traole? Tumezingua sana kwa hawa hapa... Halafu tunamtafuta Carrol.
 
Nyie siku hizi kila mechi kwenu ni ngumu Hahahahaha Hanna mechi nyepesi kwenu hahahahahaha
 
Hapana ndg Norwich anatusumbua sana huwa tunamfunga kwa tabu
Sisi ni timu kubwa usajili wetu ka Morata ni kikosi chote Cha Norwich...
Mshahara wa hazard kwa wiki unalipa wachezaji 4 wa Norwich


Hivi Bakayoko ni better than Loftus-cheek kweli? Hivi Batshuayi ni better than Traole? Tumezingua sana kwa hawa hapa... Halafu tunamtafuta Carrol.
 
Bakayoko, Zappacosta na mmojawapo kati ya Pedro/Batshuayi wanaweza kutolewa muda wowote.

Ili kupasha mwili waingie Ngolo, Hazard na Musonda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom