Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Ww unayo 6-0 moja tu...Mkuu mkoloni hasemi anaonekana. Toa ngwangwala zako hapa. We kwangu kibonde tu. 6-0
Mm ninazo ngapi???
Ww unayo 6-0 moja tu...Mkuu mkoloni hasemi anaonekana. Toa ngwangwala zako hapa. We kwangu kibonde tu. 6-0
Zihesabu.. Niletee majibu. Nitakupata na zawadiWw unayo 6-0 moja tu...
Mm ninazo ngapi???
Alaa!!! Nihesabu mm tena!!!! Ww ndo ufanye hivyo ingia google ucheki hivyo visago nilivyokupatia...Zihesabu.. Niletee majibu. Nitakupata na zawadi
Kumbe unaweza kufanya ivyo.? Kwa nink umeniuliza.?Alaa!!! Nihesabu mm tena!!!! Ww ndo ufanye hivyo ingia google ucheki hivyo visago nilivyokupatia...
Nimekuuliza nn ww???Kumbe unaweza kufanya ivyo.? Kwa nink umeniuliza.?
Nikujibu nini wewe.?Nimekuuliza nn ww???
Mkuu hizi habari za toka mwaka 2010 unatuletea 2018 hii.? Huyu robot si tumpeleke wapi.? Japo turudi kwenye sijui ni kitu gani kinatuzuia kusajili
Acha kuharibu mood za watu ww...
Kama ni kweli wacha iwe hivyo mpaka Roman apate akili kwamba huyo mwanamke aliyempa madaraka makubwa ya kuamua juu ya usajili atumbuliwe
Croach anatimiza miaka 37 January 30 kwa hiyo kwa sasa ni sawa na kusema ana miaka 37 sio 36. Huyu naona atavunja rekodi ya mastraika kucheza ligi kubwa kama ya Uingereza kwa umri mkubwaMshambuliaji wa Stoke na Uingereza Peter Crouch, 36, analengwa kusajiliwa na Chelsea baada ya majeruhi kumnyima Andy Carroll , 29, fursa ya kuhamia klabu hiyo.(Telegraph)
Chelsea inataka kumsajili mshambuliaji wa Bosnia Edin Dzeko, 31, na beki wa Itali Emerson Palmieri, 23, kutoka Roma. Wawili hao wanaweza kugharimu jumla ya £77m. (Daily Star)
Chelsea itamtumia mshambuliaji wa Ubelgiji mwenye umri wa miaka 24 kumsajili Edin Dzeko. (Sky Italia)
Bora umejigundua mapema. Unauliza upepo unajibiwa upepo. Tongotongo wewe. Alaaaah![]()
we jamaa Hamna...

Mkuu hii kitu inasikitisha sana. Huxu babu alifaa akasimamie mazoezi huko timu ya watoto.
Watumiaji wa tecno bana utawajua tuAcha kuharibu mood za watu ww...
Kisa sijui umesajili nani sijui...
Rotated 270 degrees clockwise...Watumiaji wa tecno bana utawajua tu
Kalale...Bora umejigundua mapema. Unauliza upepo unajibiwa upepo. Tongotongo wewe. Alaaaah![]()
Kalale...Bora umejigundua mapema. Unauliza upepo unajibiwa upepo. Tongotongo wewe. Alaaaah![]()