Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Conte is poooooorlest coach hafai hata kidgo aondoke tu kwanza na hasira then ana visiran na wachezaji
Anga Zenu za Kina Gullit na Vialli Zinarudi taratiibu...
Conte is poooooorlest coach hafai hata kidgo aondoke tu kwanza na hasira then ana visiran na wachezaji
Anga Zenu za Kina Gullit na Vialli Zinarudi taratiibu...
Hii team sielewi sasa hivi kusema kweli sasa peter crouch tena, jamani..!Is Stamford Bridge ready for the robot?
Peter Crouch has emerged as a new target for Chelsea. Thoughts?
Watani zetu mpoooooo
View attachment 679617
Ndio matatizo ya kutumia wereva. Unaleta rekodi za miaka ya miaka ya 80 ambapo mi nilikua bado napambana kutengeneza utawala wangu.NimepigA screenshot we zwazwa...ilipoenea nimeshot hivyohivyo... Ntalazimishaje kitu impossible..
Halafu kwan tarehe zinaingiaje hapa??? Sini asenali na chesi hizo??? Au kisa nimekugonga nyingi nyingi hapo za magoli mengimengi??
Tuliza hiyo midomo ya kingosha..
Mkuu hizi habari za toka mwaka 2010 unatuletea 2018 hii.? Huyu robot si tumpeleke wapi.? Japo turudi kwenye sijui ni kitu gani kinatuzuia kusajili
Mkuu angalia tarehe ya hiyo post bhanaWaliokuwa wanamtukana Michael Emenalo sijui bado wapo humu? Maana naona sasa kuna shida kubwa hawa akina Andy Carroll, Croach na Dzeko si size ya Chelsea
Utawala wapi ww ....., umekuja juu karne ya 21 na tena siyo mtawala sema kiwango kilipanda.....Ndio matatizo ya kutumia wereva. Unaleta rekodi za miaka ya miaka ya 80 ambapo mi nilikua bado napambana kutengeneza utawala wangu.
Mkuu mkoloni hasemi anaonekana. Toa ngwangwala zako hapa. We kwangu kibonde tu. 6-0Utawala wapi ww ....., umekuja juu karne ya 21 na tena siyo mtawala sema kiwango kilipanda.....
Mm ndiye mkoloni wako umesikia ww????