Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wacha Wacha,Wacha wa one wenyewe.

Ama kweli ngoma ya watoto haikeshi,na ikikesha ngoma hupasuka (The Gunners ended up drew 2-2 with 10-man Wigan at the DW Stadium ).

Mashetani (Mapepo) wanagonga mvinyo tu.Lakini wamenuna baada ya kuona daraja likianza kujengwa upya jana.

EPL is a very competitive league. Can you imagine "Wolves stunned Liverpool 1-0 at Anfield?"
 



Vikongwe wa Chelsick - the Mafioso.​






Amanalo chijui amenola watajijuu menyewe khe khe khe kheeeeeeeee​





Take that .... ..... Theooooo huyooooooooooo​





Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee​
 
Heri ya Mwaka mpya to the all true blues fans Peasant, AbT, RevK, Invi etc.
 
Nasikia Chelsick the mafioso team wakishinda leo watakuwa wanagombea nafasi ya nne, Je, hii ni kweli? Mchungaji Kishoka upo? Ooops na akina nani wale siku hizi wamekuwa adimu sana hadi utoe mpunga ndio utawaona ... .... .. khe khe kheeeeeeeeeeee
 
Heri ya Mwaka mpya to the all true blues fans Peasant, AbT, RevK, Invi etc.

Pole kaka nasikia bado wako kwenye Matanga nafasi ya nne chio nchezo! Khe khe khe khe eeee
 
Kuna Red card nadhani kwa hawa AV, wanajitahidi kuzuia Chelsea wasicheze game lao

FH Chelsea 1 AV 1
 
Kuna Red card nadhani kwa hawa AV, wanajitahidi kuzuia Chelsea wasicheze game lao

FH Chelsea 1 AV 1

...'nasikia' huko nje watu wanamshangilia Heskey, cha pili nini?! he he he!
 
Mbu aligusia hii kitu; there something fishy going on in Stamford Brigde.
 
Hii inanikumbusha wimbo wa Daz Nundaz unaitwa "MAJI YA SHINGO" Ngoja niwakumbushe kiitikio chake " Maji ya shingo yamenifika mwana mkiwa, sisikii siambiwi la kutamkiwa, Jela ni kitu gani ntakwenda ntaachiwa, kama vikesi vingi mi nishasingiziwa, mbele kiza kimetanda sioni njia........" naona sasa Chelsea mbele kiza Kimetanda na haoni njia.....hapa wanachezea kichapo koz hata draw mbao haitoshi.......Anyway mi nawatakia kila la Kheri.....ila so far 2-1 ndo score board inavyosomeka.................
 
Poleni wakuu labda mtaambulia hata kapoint kamoja. Dakika ndiyo zinazidi kuyoyoma. Matokeo yakibaki hivi si ajabu kibarua cha mtu kikaota majani kabla ya wiki kwisha.
 
Jamani huyu kocha msaidizi (mnigeria) Simuoni akishirikiana na kocha mkuu,na hakai jirani na kocha mkuu kusaidiana. Je ni kwa nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…