Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ukitaka kujua uwezo wa Ross Barkley tazama hii youtube video
Akikaa miaka minne tu Chelsea anaweza fikia au kuivunja record ya Frank Lampard. Ana uwezo wa kufunga magoli kutoka impossible angles

Rekodi ipi ya Lampard anayoweza kuifikia/kuivunja ?
 
Ukitaka kujua uwezo wa Ross Barkley tazama hii youtube video
Akikaa miaka minne tu Chelsea anaweza fikia au kuivunja record ya Frank Lampard. Ana uwezo wa kufunga magoli kutoka impossible angles

Kama morata tu
 
Ukitaka kujua uwezo wa Ross Barkley tazama hii youtube video
Akikaa miaka minne tu Chelsea anaweza fikia au kuivunja record ya Frank Lampard. Ana uwezo wa kufunga magoli kutoka impossible angles

ukikaa sawa utajisahihisha mwenyewe hivi kweli lampard wakufikiwa na huyo dogo kisha kuzivunja rekod zake? chelsea wamepita wanyama wanangap?

lampard hakuwa mtu wa kawaida ktk soka.
 
Wachezaji hawaja turn up kabisa leo hamna tempo hamna mpango mkakati lets hope for a better second half.
[HASHTAG]#KTBFFH[/HASHTAG]
 
Ila we kiazi sana. Jati ya sisi na nyie kina nani wana midomo sana.? Si yetu kazi nyie mpaka mnakuja huku kutaku kututambia. Lakini si wakimya kazi uwanjani.

Wazee wa kushindwa hamna mnaloweza zaidi ya kupiga domo tu.
Unaongea ka unarushwa kwenye bamzi
 
Nimeipenda pia hii comment
Ununuzi wa Ross Barkley ni wizi wa mchana Chelsea wameifanyia Evarton kwa soko la leo
"Ross Barkley seems to be a done deal! £15M is an absolute steal in today's market. Let's hope he turns out to be a good player for Chelsea"

Mkuu huyu ni Lampard kabisa. Ni swala la muda tu. Yale magoli ya Lampard na mi penati yake naiona kabisa bila chenga. Sema tu tuombe majeraha yajae mbali nae. Bakayoko ana kazi ngumu sana
 
ukikaa sawa utajisahihisha mwenyewe hivi kweli lampard wakufikiwa na huyo dogo kisha kuzivunja rekod zake? chelsea wamepita wanyama wanangap?

lampard hakuwa mtu wa kawaida ktk soka.
Mkuu ni swala la muda tu. Anaweza asifikie rekodi za Lampard lakinj akawa anafanya mambo aliyokuwa anayafanya Lampard. Kulingana na umri wake naamini hata rekodi anaweza kuzifikia. Time
 
Sasa kama mmeshindwa kutoa handcap mnaweza nn mnajiongezea idadi ya mechi tu za kijinga..!!!
sema kwanza team yako ndo tujue unashiriki match za kijinga na wewe?? Au hata baadhi ya hizo za kijinga umetolewa acha uboya hapa tunadiscuss football ficha upumbavu wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom