Mr Kaptenovela
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 621
- 618
Umelazimishwa???? Hama!!!!Tufunge midomo yetu atuna timu
Umelazimishwa???? Hama!!!!Tufunge midomo yetu atuna timu
Kukupenda wewe ndioUmelazimishwa???? Hama!!!!
Nakupenda Sana Kama Ndugu yanguUsilete upuuzi hapa babake.......usijitangaze.....humu hatupendi Malaya ma-mae
Sihitaji huo undugu wako....Nakupenda Sana Kama Ndugu yangu
Hana mamlaka lakini ana ushawishi wa kitaalamu, maoni yake yanazingatiwa sanaKocha sio mwenye mamlaka kwenye usajili anachofanya ni kutoa list ya wachezaji anaowahitaji na alishafanya hivyo tangu dirisha la usajili lililopita.
Kumsajili ama kutomsajili mchezaji ni maamuzi ya director,Marina Granovskaia ambae ana deal na uhamisho wa wachezaji.
Wewe mgeni najua ila nakupenda snaSihitaji huo undugu wako....
Nan mgeni hapa?????? Mshazoea kukimbilia profile za watu kucheki yasiyowahusu......Nina miaka mitano humu....Wewe mgeni najua ila nakupenda sna
Namaanishi sio raia wahapa Mimi nimtanzaniaNan mgeni hapa?????? Mshazoea kukimbilia profile za watu kucheki yasiyowahusu......Nina miaka mitano humu....
Sasa Mimi ni RAIA wa nchi gan????Namaanishi sio raia wahapa Mimi nimtanzania
Sisi Watanzani tunaupendo mkubwa sana tunachukuliana kwa Upendo mkubwa sana
Uvumilivu
Ndio maana ninakupenda Sana Kama binadamu mwenzangu













Tunza kwa faida yakoHii tumeitunza.