Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mjiandae mechi ijayo ligue cup dhidi ya asernal mnatolewa.
[emoji3][emoji3]
 
Mwezi wa tatu Hizi mechi zinawasubiria
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️[emoji3][emoji3][emoji3]

20180107_081956.png
 
Wana blues wenzangu vip kocha wetu ana mpango gani na hili dirisha dogo naona timu limejaa viungo tu pale mbele hatuna mtu wa kazi. Kocha ana mpango gani au hajapewa fungu?
 
KAMA mchezo wa soka ungekuwa unaitwa ‘mpira wa vichwa’, basi Alvaro Morata bila shaka angekuwa mshambuliaji bora wa mchezo huo.

Mhispania huyo anayeitumikia klabu ya Chelsea, si kwamba ni straika mbovu kwenye soka, ni mzuri lakini hiki anachokionesha msimu huu cha kuonesha makali ya kufunga mabao kwa kichwa kuliko miguu, ndicho kilichowakera sana mashabiki wa Chelsea baada ya sare ya mabao 2-2 dhidi ya Arsenal.

Morata alipata nafasi nyingi, tena nzuri mno za kufunga mabao kwa upande wa timu yake ya Chelsea, lakini alishindwa kuzitikisa nyavu za Arsenal.

Adui wa kwanza wa Morata kwenye mchezo huo uliochezwa mapema wiki hii kwenye dimba la Emirates alikuwa ni Petr Cech na wa pili alikuwa ni yeye mwenyewe.

Iwapo angetumia vyema nafasi hizo, Morata angeifanya timu yake iondoke na ushindi mnono katika mtanange huo na angeisaidia sana Chelsea katika harakati za kuisaka nafasi ya pili wikiendi ijayo watakapoingia tena dimbani kucheza mechi ya Premier League.
 
Majirani jana walitucheka sana na maneno mengi ya kejeli naona leo wanatolewa meno bila ganzi huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wana blues wenzangu vip kocha wetu ana mpango gani na hili dirisha dogo naona timu limejaa viungo tu pale mbele hatuna mtu wa kazi. Kocha ana mpango gani au hajapewa fungu?
Kweli mkuu sijui nn tatzo nauyu jamaa nazani hafiji march watakuwa washamtimua c kwakutuvuruga uku
 
Wana blues wenzangu vip kocha wetu ana mpango gani na hili dirisha dogo naona timu limejaa viungo tu pale mbele hatuna mtu wa kazi. Kocha ana mpango gani au hajapewa fungu?
Kocha sio mwenye mamlaka kwenye usajili anachofanya ni kutoa list ya wachezaji anaowahitaji na alishafanya hivyo tangu dirisha la usajili lililopita.
Kumsajili ama kutomsajili mchezaji ni maamuzi ya director,Marina Granovskaia ambae ana deal na uhamisho wa wachezaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom