Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Morata ndiyo mlilipa bei gani yule striker wenu?Costa angekuwepo mecho kibao mlizo struggle angewafanya mshinde
Mambo ya bei wewe usiyalete hapa..unajua pia nyinyi mmetumia sh ngapi in recent years kwa ajili ya hao hao ma strikers , hakuna mtihani kama kupata striker mzuri na aka settle na timu ...he is not the worse ila i agree jana and in some matches amezingua sana.
 
Wacha niungane na conte kuwa kinachoifanya chelsea kuwa hapo ni kukosa bahati tu
Ni kweli morata angeimaliza match mapema lakini kile kitu kukosa bahati kimetugarimu
Hv mechi umeangalia lakini..
Hv unaweza kuita ile kosakosa ya Morata ni kukosa bahat kweli? Au ni ubovu wa streka?
hili si geni kwa leo, juzi hapa mechi ya stoke amekosakosa kama hii mara 2 alikuwa yey peke ake na Kipa. Au kwa sabab tulikuwa tumeutawala mpra na kuongoza kwa mabao 3 basi ukawa kipofu hukuna.

Mi morata nilikuwa namsitiri sana na nilikataa kusikiliza maneno ya watu hadi nijiridhishe mwenyewe.. Nilichojionea ni kuwa morata ni streka labda wa vichwa ila hana lolote linapokuja swala la yeye na kipa au yey na mabeki, pia sio mzur kwenye kufight mpira hadi kufunga maana yupo very delicate hadi makocha wamemstukia hawampi hata penat moja
 
Kwa kweli nilitaka kulia. Nilimkumbuka Didier Drogba na Diego Costa! Gemu ya jana tungemuua Aseno kwa ngumi yaani goli 5!
Mi nilisemaga ktk post za nyuma hapo kuwa Conte kaisuka simu vizur sana ila tunachomisi ni wamaliziaji, yaan mastreka wa uhakika.
Tukiwapata hata 2 tu, chelsea ni tm nzur na bora kabsa kwa sasa
 
Makipa wakimuona morata anaenda na mpira golini
51ecbe915e0d6821bfea283edb4ec4d3.jpg
382ac39ff0ff02a16a5b6e6fdb9ba11a.jpg
dd9ea5cbe98c2506f5d35cebe425900f.jpg
3bae6c37be581c1903558356561a6175.jpg
 
Mkuu wote tulitambiana lazima kila mmoja ashinde. Tena mimi ndio inatakiwa nitambe kwa sababu nilikua ugenini.. Au kwako draw ndio ushindi mkubwa. Tuwekane sawa mkuu
Tatizo mlitamba mno......subir kesho,..subir kesho...ss tukasema sawa......ikafika mwisho wa siku ka ulivyoona...mkapewa na tuta juu....
Naona kisingizio kimekuwa yule dogo wa Madrid.......
Nimejaribu kufuatilia post zenu kabla ya kombora la bellerin sijaona morata anapondwa kihivyo...nimeona Mara safi,cjui haters wamekuwaje.......
Ila mwisho wa siku kijana wa watu anabeba zigo lote......
Punguzeni unaaaaaa wana Chelsea......
 
Ila we kiazi sana. Jati ya sisi na nyie kina nani wana midomo sana.? Si yetu kazi nyie mpaka mnakuja huku kutaku kututambia. Lakini si wakimya kazi uwanjani.

Wazee wa kushindwa hamna mnaloweza zaidi ya kupiga domo tu.
 
Morata anapaswa kufanyia kazi miguu yake maana data zinaonyesha hayuko vizuri miguuni. Pia anapaswa kujenga na kujengewa kujiamini. Anapaswa kujenga misuli yake ili kuimiri mikikimikiki ya mbele.

Mimi bado naona kuna potentials ndani ya Morata na naona tumempata kwa hela nzuri hasa ukiangalia soko la sasa. Bado ni kijana mdogo na anaweza kukaa nasi kwa muda mrefu. Tusisahau ndo mara ya kwanza anaanza kuongoza safu ya ushambuliaji na kuwa mchezaji tegemewa wa kikosi cha kwanza. Kwa huu ndo mwaka wake wa kwanza katika kikosi kwa kwanza cha timu yoyote. Dunia kwa sasa haina strikers na strikers bora waliopo hawawezi kuachiwa na timu zao hasa kwa kipindi hiki cha Januari na wakiachiwa hela ni ya moto. Bale, Harry Kane, Lewandosic, Suares, Icard na wanaofanana na hao huwezi kuwapata kirahisi. Nani alijua kama Azpilicueta ana potentials? Moses Je? Alonso naye? Hawa walinunuliwa kwa hela ya mboga tena wengine mpaka £7M ila waangalie kwa sasa wanaweza hata kusecure namba katika kikosi chochote bora duniani.

Tuwe wavumilivu wakuu mambo mazuri yanakuja Conte mnayemtukana leo katufanyia kazi kubwa sema tu tunakosa shukrani. Kila mara Chelsea ikichukua ubingwa inapoteana ila kwa sasa tumeanza round ya pili tukiwa point 1 nyuma ya mshindi wa pili. Tukipata striker wa kuleta ushindani kwa Morata, tukapata backup ya Alonso, na jana usiku Beckery alifanyiwa vipimo na nafikiri ni mahususi kwa ajili ya kusaidiana na Fabrigas tutakuwa balaa zaidi.
 
Nafikiri jina halisi ni Ross Barkley
 
Nafikiri jina halisi ni Ross Barkley
Lakini mkuu mm nikiangakia kikosi cha Chelsea bado nakiona kama kikosi kitakacho fanya vizuri katika miaka 5 hii inayokuja.
Hivi angalia miaka yao:
1. Courtois 25
2. Rudigar- 24
3. Christensen- 21
4. Azpilicueta- 28
5. Moses - 27
6. Bakayoko- 23
7. Kante- 26
8. Drinkwater- 27
9. Ross Barkley- 24
10. Alonso- 27
11. Hazard-26
12. Morata- 25
13. Kennedy -21
14. Musonda- 21
15. Ampadu- ?
 
Ampadu is 17 yrs
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom