Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hhhhhhhh.....,hadi Jana c ulisema time?????........Ila haina neno ngoj tusubir
Mkuu wote tulitambiana lazima kila mmoja ashinde. Tena mimi ndio inatakiwa nitambe kwa sababu nilikua ugenini.. Au kwako draw ndio ushindi mkubwa. Tuwekane sawa mkuu
 
WAKUU KUNA HAJA YA CONTE KUTAFUTA SRIKER ILI DIRISHA AISEE
UYU MORATA WETU ANATUFANYIA NN YANI TIMU YETU IPO OPO TU DAAAAH
 
chelsea inamikosi na mastrike hatujawahi kupata real strike wakutufurahisha wakati wote tangu alivyoondoka drogba wakati mwingine unaweza sema bora etoo tena wakati mwingine bora hata ba
 
Hapana hiyo mechi isingeisha draw kama asingemtoa Hazard. Nimeangalia dakika 15-20 za mwisho na sikuona sababu ya Kumtoa Hazard kabisa, tactical tena, labda angekuwa majeruhi.

Halafu unamuacha Morata ndani. Hii tabia inavunja wachezaji wengine morali. Sijajua labda kwenye mazoezi anafanya bora zaidi ama ni nini shida yake hasa.

Na Bakayoko wenu. Kwangu mimi hawa wangefaa msimu ujao ila msimu huu tungeendelea na tia maji tia maji yetu ya msimu uliopita halafu hao waingie kutokea benchi mpaka watakapozoea ligi na kuzoeana na wenzao.

Umeona ambavyo Rudiger na Christensen walivyofit vyema?
Wacha niungane na conte kuwa kinachoifanya chelsea kuwa hapo ni kukosa bahati tu
Ni kweli morata angeimaliza match mapema lakini kile kitu kukosa bahati kimetugarimu
 
ea74abeb4953fd3e734281fb918e7a1a.jpg

Great Passion from our manager.

Morata you should respect our manager because you are not playing football alone on the pitch.... We play too
 
GIRL : Baby i Morated my period

BOY : what do you mean?

GIRL: I mean, I miss my period

BOY:
7205cc694129d00778be888cf304946f.jpg
 
Spanish Yaya Sanogo showing why until now he managed to score only 50 career goals, Give me Emmanuel Riviere any time.
 
Hapana hiyo mechi isingeisha draw kama asingemtoa Hazard. Nimeangalia dakika 15-20 za mwisho na sikuona sababu ya Kumtoa Hazard kabisa, tactical tena, labda angekuwa majeruhi.

Halafu unamuacha Morata ndani. Hii tabia inavunja wachezaji wengine morali. Sijajua labda kwenye mazoezi anafanya bora zaidi ama ni nini shida yake hasa.

Na Bakayoko wenu. Kwangu mimi hawa wangefaa msimu ujao ila msimu huu tungeendelea na tia maji tia maji yetu ya msimu uliopita halafu hao waingie kutokea benchi mpaka watakapozoea ligi na kuzoeana na wenzao.

Umeona ambavyo Rudiger na Christensen walivyofit vyema?
Mkuu katika siku niliyokereka ni jana. Bakayoko na morata wamearibu siku yangu jana nikabaki kuota jinsi morata alivyokuwa akikosa magoli ya wazi kabisa. Nimeumia kwa kweli. Sub ya jana kocha kachemka hatari. Hazard hakuonesha dalili yoyote ya kuchoka wala nini. Watu niliyokuwa nikipiga kelele watoke ni morata na bakayoko. But kilichotokea tunaambulia 1 point. Hatari sana. Konte nampenda ila inabidi ajitathmini kwenye upangwaji wake wa kikosi na sub anazotoa
 
BREAKING NEWS
Alvaro Morata a.k.a Harmorata achaguliwa kuiwakilisha Hispania kwenye mashindano ya Miss World 2018 nchini China
 
BREAKING NEWS
Alvaro Morata a.k.a Harmorata achaguliwa kuiwakilisha Hispania kwenye mashindano ya Miss World 2018 nchini China
mbona tunasikia nawewe leo umealikwa kuwa MC kwenye sherehe ya kitchen part ya shoga mwenzio antbabuu.
 
Mkuu katika siku niliyokereka ni jana. Bakayoko na morata wamearibu siku yangu jana nikabaki kuota jinsi morata alivyokuwa akikosa magoli ya wazi kabisa. Nimeumia kwa kweli. Sub ya jana kocha kachemka hatari. Hazard hakuonesha dalili yoyote ya kuchoka wala nini. Watu niliyokuwa nikipiga kelele watoke ni morata na bakayoko. But kilichotokea tunaambulia 1 point. Hatari sana. Konte nampenda ila inabidi ajitathmini kwenye upangwaji wake wa kikosi na sub anazotoa
Ndio maana kazi ya ukocha ni kazi ya kutumbuliwa tu! Hazard haikutakiwa kabisa atoke, angetoka Bakayoko au Morata
 
Morata ndiyo mlilipa bei gani yule striker wenu?Costa angekuwepo mecho kibao mlizo struggle angewafanya mshinde
 
Nadhani katika makocha kadhaa waliopita chelsea, conte ameishindwa kabisa arsenal. Amewafunga mechi 1tu au 2 kama sijakosea. Inakera sana.
Najaribu kuelewa lengo la kumchezesha bakayoko, drinkwater na kante kwa pamoja.
Conte kashndwa kummudu Wenga, hilo halna ubishi
Ingawaje kwa jana Morata katuangusha sana.. na ni bora aondoke tu tujue hatuna streka
 
Next game ajaribu kumtumia Willian kama namba 10 na Hazard kama false 9 tuone itakuwaje. Huyu Morata nilishasema kwa msimu huu awe anatokea benchi tu.

Yani amelainika mpaka refa keshamjua hata akivhezewa foul ya ukweli ye anaona kajidondosha tu!
Sure, ila tunahitaji kusajili streka
Tukiendelea na huyu tutaaibika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom