Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,935
- 27,192
Salama. Kwema?Mkuu habar yako??????
Salama. Kwema?Mkuu habar yako??????
Vp unanikumbuka?????Salama. Kwema?
Hahaa.. Mkuu wewe si ndio ulisema utaninyoa.? Sijaona ulichofanya pamoja na ubutu na ubovu wetu katika ushambuliaji. Hakuna cha maana ulichofanyaVp unanikumbuka?????
Umepewa penalti laini......,lucky for you,the referee was on your side.....,calabao ntakunyoa mpaka hutoamini.....,c unamjua arsenal lakini???????Hahaa.. Mkuu wewe si ndio ulisema utaninyoa.? Sijaona ulichofanya pamoja na ubutu na ubovu wetu katika ushambuliaji. Hakuna cha maana ulichofanya
Hahaaa.. Mkuu hayo maneno tu. Hunitishii chochote. Huna ukali wowote wewe wa kuniogofya. Mi naweza nikaweka hata makinda watano ukashindwa kutoka na point hata mojaUmepewa penalti laini......,lucky for you,the referee was on your side.....,calabao ntakunyoa mpaka hutoamini.....,c unamjua arsenal lakini???????
C ungeweka sasa ulizuiwa.....,wilshere kafungua opener ya epl kwako..hhhhhhhh.....carabao c uje mbna unAchelewa.....?????Hahaaa.. Mkuu hayo maneno tu. Hunitishii chochote. Huna ukali wowote wewe wa kuniogofya. Mi naweza nikaweka hata makinda watano ukashindwa kutoka na point hata moja
Time is the best ans. Carabao inakujaC ungeweka sasa ulizuiwa.....,wilshere kafungua opener ya epl kwako..hhhhhhhh.....carabao c uje mbna unAchelewa.....?????
Hhhhhhhh.....,hadi Jana c ulisema time?????........Ila haina neno ngoj tusubirTime is the best ans. Carabao inakuja
Asee hata ckuelewi unavyonambia....labda nihamie jukwaa la man umaandiko yote yanabeba maana moja ukichambua sehemu yako utajishtukia tu
Mnapewa penalti nyepesi bado mnalalamika hamkujua kuwa mlistahili kunyolewa leo??????? Halafu Costa Costa nyie wanachelsea baada ya man u mnafuatia kwa unaaa
Nawaambia hachomoki mtu emirates kuanzia sasa.
Kazi ndo imeanza.....,tunawasubir kalabao.....ss ndo wakoloni wenu dadeki!!!!!
Hapana hiyo mechi isingeisha draw kama asingemtoa Hazard. Nimeangalia dakika 15-20 za mwisho na sikuona sababu ya Kumtoa Hazard kabisa, tactical tena, labda angekuwa majeruhi.Matokeo ya hii match ilikuwa 2-1 au sare
Lawama hazisaidii chochote
Carabao hilo ndio kombe lakoTime is the best ans. Carabao inakuja