Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Morata hatakiwi cheza pale kwani hajiamini

Conte aache defend akishinda
 
Siyo mbaya bhana. Tulikua ugenini kidogo uwanja ni mgumu. Though tunahitaji killing striker hatuwezi kucheza na Barcelona kwa mtindo huu tutegemee kupata matokeo

Tumeharibu mwishoni baada ya kupata goli la pili tukaanza zuia tu na kuacha wao wachezee mpira, ila tungekuwa sisi ndio twachezea mpira tungeshinda
 
Nadhani katika makocha kadhaa waliopita chelsea, conte ameishindwa kabisa arsenal. Amewafunga mechi 1tu au 2 kama sijakosea. Inakera sana.
Najaribu kuelewa lengo la kumchezesha bakayoko, drinkwater na kante kwa pamoja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom