Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Yani nashindwa kabisa kumuelewa conte katika upangaji wa kikosi pamoja na sub anazofanya sikuona sababu ya kumtoa Hazard ambaye ndo anapeleka mashambulizi mbele
 
Nampenda sana hazard ila kama akiamua kuondoka sitajisikia vibaya. Otherwise conte abadilishe mbinu za kiuchezaji.
Harzad ata mie naungana na ww muache aondoke maaaan atazeeeka kwenye timu bovu
 
8e50a6715662f5b0144f3fdec4cc404a.jpg
d428812edcdca8db0d140d5f26abe290.jpg
6656bc5864683c6da186f73b3e29f0f9.jpg

Official instagram page ya Chelsea. Cheki watu wanavyo mshushia matusi Morata
 
Mchezaji mkubwa kama Hazard unamfanyia sub katika big match wakati ushindi haujaupata ni bora asepe tu
Tena asep january hii km vip anunue mkataba wake madrid au barc hat ishikwe vip hawafanywi sub. Nae coach km vip atimuliwe tu mbwa
 
Harzad ata mie naungana na ww muache aondoke maaaan atazeeeka kwenye timu bovu
Anafanya vitu vikubwa sana ila wenzake wanamuangusha. Tazama ile back-heel pass aliyompa fabregas, angekuwa suarez pale tayari kipa lazima aokote mpira nyavuni.
 
Anafanya vitu vikubwa sana ila wenzake wanamuangusha. Tazama ile back-heel pass aliyompa fabregas, angekuwa suarez pale tayari kipa lazima aokote mpira nyavuni.
Tatzo anacheza na michezaji ya kizamni ya morhnyo
 
We wenger unashindwa kumfunga tok ufke chelsea wakt mpka AVB alikiwa anajipopolea tu yuke ajuza ati umfunge barc ww mav ya ufuta nakunya mie
 
Tena asep january hii km vip anunue mkataba wake madrid au barc hat ishikwe vip hawafanywi sub. Nae coach km vip atimuliwe tu mbwa
Conte ni kocha mzuri sana. Mistake hujitokeza, msiwe na mioyo miepesi namna hiyo. Kuna mechi zinakuja ngumu kuliko hii. Hebu jaribu kuwa na akiba ya maneno. Then jipe muda. Time is the best Ans
 
Conte ni kocha mzuri sana. Mistake hujitokeza, msiwe na mioyo miepesi namna hiyo. Kuna mechi zinakuja ngumu kuliko hii. Hebu jaribu kuwa na akiba ya maneno. Then jipe muda. Time is the best Ans
Mkuuu southern anatuzingua dirisha limefunguliwa hata teyes za kusajir hakun cheki gem ya carabao anakufa na wenger nipo humu
 
Nadhani katika makocha kadhaa waliopita chelsea, conte ameishindwa kabisa arsenal. Amewafunga mechi 1tu au 2 kama sijakosea. Inakera sana.
Najaribu kuelewa lengo la kumchezesha bakayoko, drinkwater na kante kwa pamoja.
Kashinda mechi moja tu ya mwaka jana premier league mechi ya marudiano.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom