Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,978
- Thread starter
- #46,001
Duh sasa tunanunua kikosi kizima chq Leicester!!! Na je, tunamhitaji huyu kiasi hicho ama ndo kuja kuchukua nafasi ya Fab?
Kuchukua nafasi ya Fab hapana kwa kweli. Ndio tunahitaji mrithi wa Fab lakini nadhani anatakiwa ambaye sio winga na mwenye uzo angalau kama Fabregas. Yaani hatamani kufunga ila pale inapobidi, kazi yake iwe ni kupitisha pasi kwa namba 10 au 9 (kutengeneza link kati ya Viungo wakabaji na washambuliaji). Sasa naona Maharez ni pure wing player.
Nadhani (kwa muangalio wangu) kama Chelsea wanamtaka kweli Maharez basi watakuwa wanataka pure left footed winger