Hawa wakitoka itapendeza zaidi
Bakayoko
Moses na
Fabriga ni mzuri ila pumzi inamuisha mapema
Waingie
Willian
Pedro na
Batshuayi
Game ngumu
Wakutoka Moses na Bakayoko, Waingie Drinkwater na Zappacosta

Morata ni mzito kwenye miguuMorata kwanini lakini.?![]()
![]()
Wakiwa nje wanaona vingi sanaWillian kaingia tu game ikachange