Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa kuongezea pia manager hana majukumu wala sauti kubwa kwenye usajili kuna mtu anaitwa technical director au football director huyu ndo ana sauti kwenye board yeye ndio anaongoza organ muhimu kiufundi za club kama scouting,transfer na managment ya team ambapo manager anakuw chini yake akiwa na majukumu ya kumanage team ikiwemo youth programs mpaka kikosi cha kwanza then chini ndo anakuwepo first team coach na makocha wa timu za vijana au wanaake

Kwa Chelsea huyo technical director hana nguvu kwenye usajili isipokuwa kwenye academy tu. Maltilingual Director ambaye ni mtu wa karibu na Roman ndiye mwenye sauti na Owner kamweka makusudi kama sterling wake tangu aichukue timu
 
Jamani habari za mwaka mpya najua kila mmoja yupo OK nauliza last week niliona tetes kwenywe whasp group wakisema maherez wa lester tumemchukua et ni kweli
 
b46789068d26f2ecf379b2d412092afd.jpg


REPORTS : Mahrez achived began his family's transition to live in London.
to be continued..
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Duh sasa tunanunua kikosi kizima chq Leicester!!! Na je, tunamhitaji huyu kiasi hicho ama ndo kuja kuchukua nafasi ya Fab?
Mahrez na Fabregas wanacheza nafasi tofauti.Anakujaje kuchukuwa nafasi ya Fab?Nadhani wahanga wakubwa wa usajili wake watakuwa ni Willian na Pedro kama ikitokea akasajiliwa.
 
Mahrez na Fabregas wanacheza nafasi tofauti.Anakujaje kuchukuwa nafasi ya Fab?Nadhani wahanga wakubwa wa usajili wake watakuwa ni Willian na Pedro kama ikitokea akasajiliwa.
Je kumnunua Mahrez ni ku upgrade kutoka Willian, Pedro na huyu dogo Musonda?

Mahrez anafaa kutumika kama tunacheza 3-5-2 kama ambavyo anacheza Fabregas. Nafasi hiyo attacking midfielder wengi wanaiweza kama wana quality passes kama za Fabregas. Mahrez kwangu mimi, na hapa ni kama akija, ni afadhali akacheza nafasi ya Fab ingawa shida bado itabaki kwenye defensive capabilities.

Kama tunacheza 3-5-2 mchezaji kwa sasa kwenye EPL anayeweza kuicheza vyema nafasi ya Fab ni KDB wa Man City.
 
Je kumnunua Mahrez ni ku upgrade kutoka Willian, Pedro na huyu dogo Musonda?

Mahrez anafaa kutumika kama tunacheza 3-5-2 kama ambavyo anacheza Fabregas. Nafasi hiyo attacking midfielder wengi wanaiweza kama wana quality passes kama za Fabregas. Mahrez kwangu mimi, na hapa ni kama akija, ni afadhali akacheza nafasi ya Fab ingawa shida bado itabaki kwenye defensive capabilities.

Kama tunacheza 3-5-2 mchezaji kwa sasa kwenye EPL anayeweza kuicheza vyema nafasi ya Fab ni KDB wa Man City.
Mahrez ni winga mkuu na tukicheza mfumo wa 3-5-2 kuna kuwa hakuna winga hapo badala yake tunakuwa na wingbacks tu ambao ni Moses au Zappacosta na Alonso.Fabregas ni kiungo wa kati na si winga.Tukicheza 3-4-3 kama tulivyocheza dhidi ya Stoke City tunakuwa na winga ama washambuliaji wanaotokea pembeni wawili kama Willian na Pedro majuzi dhidi ya Stoke au msimu uliopita tuliwatumia sana Hazard na Pedro kwa nafasi hizo na Mahrez anaweza kucheza nafasi hiyo kwasababu anashambulia kutokea pembeni na ndo nafasi pekee anayocheza mara nyingi uwanjani ile nafasi ya Fabregas inahitaji mtu mwenye kulijua dimba na Mahrez hana sifa hiyo yeye ni kama Mohamed Salah au Arjen Robben watu wakutiririka wale.
 

Siku Chelsea watamchukua huyu mtu nitafurahi sana, party ndogo itahusika !
 
Mahrez na Fabregas wanacheza nafasi tofauti.Anakujaje kuchukuwa nafasi ya Fab?Nadhani wahanga wakubwa wa usajili wake watakuwa ni Willian na Pedro kama ikitokea akasajiliwa.
Ameomba transfer na anahusishwa na Barcelona na Roma ambayo zote zimedoda. Manager Claude Puel kasema atajadiliana naye kuhusu future yake na hawako tayari kumuachia
 
Antonio Conte urges Chelsea’s board to sign Alexis Sanchez and Arturo Vidal

pri_60365536.jpg

Alexis Sanchez has been praised by Chelsea boss Antonio Conte. (Reuters)

Antonio Conte urged Chelsea to sign Alexis Sanchez from Arsenal by claiming that the Chilean is ‘one of the best in the world’. Manchester City are in pole position to land Sanchez, but may wait until the summer when the 29-year-old is available on a free transfer once his contract expires.

Reports claim that Conte wanted Chelsea’s hierarchy to sign Sanchez during the summer, but the Italian does not play a major role in the club’s transfer negotiations.

896655646.jpg

It has also been claimed that Conte has already contacted Arturo Vidal in an attempt to convince the Bayern Munich to join Chelsea. And the Chelsea manager admits he would welcome both players at Stamford Bridge. Sanchez reportedly favours a move to Manchester City. (Getty Images) ‘You are talking about two big and strong players, top players for their roles,’ said Conte. ‘Vidal is one of the best in the world, but Sanchez is the same as a striker.’ Conte has also clarified his role in Chelsea’s transfer business and insists he does not have the final say on which players are signed. ‘I’m not involved in the transfer market, I give my opinion but the club decide for the players they want to buy, to invest in,’ said Conte.


Read more: Chelsea news: Antonio Conte urges board to sign Alexis Sanchez from Arsenal | Metro News
 
Real Madrid end interest in Chelsea midfielder Eden Hazard

skysports-eden-hazard-chelsea-football_4195706.jpg

Spain

Eden Hazard is no longer a Real Madrid transfer target with the La Liga champions putting their trust in Marco Asensio.

Zinedine Zidane, a long-term admirer of the Chelsea forward, wanted Hazard, but board members are backing the 21-year-old ex-Real Mallorca star, with one even quoted as saying: "Why would we bring in the Belgian if we have Asensio?". (Marca)

Source: European Paper Talk: Real Madrid end interest in Chelsea midfielder Eden Hazard
 
Costa wants Azpilicueta at Atletico

cesar-azpilicueta-chelsea_qvczgj4p14v312yeq9mjpahb2.jpg


Diego Costa is pushing for Atletico Madrid to sign Cesar Azpilicueta from Chelsea, according to Don Balon .

The striker is officially registered to play for the Spanish giants, having joined them last year, and is now keen for Diego Simeone to launch a bid for his former team-mate.

Azpilicueta has emerged as one of the best defenders in the Premier League in recent years, winning two domestic titles, as well as the Europa League and the League Cup, and it is understood that Atleti would be willing to pay over €30m for his signature.

Source: Chelsea January transfer news LIVE: Blues keen to push through £50m Alex Sandro deal | Goal.com
 
Chelsea want £50m Alex Sandro deal
aVRK043MN4fd4cDSF20PRx5yU2rj5FOzLKijOpiwrAPmH8fv0d2N1J5txQIGD99FrpBlhD0E90Zj6e2JagSUpesHxJnLk8mTulNUeUWHX3p19b8Jd9SK_a9BYESTPg=s0-d-e1-ft

Chelsea are keen to push through a £50 million deal for Juventus full-back Alex Sandro in January, according to the Daily Mirror.

The Blues missed out on the Brazil international during the summer but are keen to beat Manchester United to signing the defender.

And Juve are already looking at replacements, with Bayer Leverkusen's Wendell on their radar.

Source: Chelsea January transfer news LIVE: Blues keen to push through £50m Alex Sandro deal | Goal.com


 
Antonio Conte has suggested he will not stand in the way of David Luiz or Michy Batshuayi if either player decides they want to leave Chelsea this month

But head coach Conte has insisted that Chelsea cannot afford to let anybody go without replacing them, even though he will not be hitting the phones in a bid to get deals across the line during this month’s transfer window.

Central defender Luiz is close to returning from injury, but has dropped behind Andreas Christensen in Conte’s plans since falling out with the Italian earlier in the season.

Striker Batshuayi has started only two Premier League games this term and Conte has preferred to play Eden Hazard as a ‘false nine’ ahead of the Belgian when Alvaro Morata has been out.

Batshuayi is not unhappy at Chelsea, but wants to play enough to be sure of his place in Belgium’s World Cup squad, while Luiz will not be satisfied with returning from injury to the substitutes’ bench.

"I was a player, I will understand if someone is worried about the World Cup,” said Conte. “I understand it’s very important to keep players very happy to stay here to work with us and I think this must be our priority. To keep the players happy to stay with us, to continue to work with us. At the same time, I was a player and I will understand if someone is thinking in this way (that they need to play more)."

But Conte added: "Our squad is not big and for this reason I think it’s impossible to send on loan one player or to sell one player if we don’t take another player."

But Conte would prefer not to risk any disquiet behind the scenes if Luiz, Batshuayi, or any other Chelsea player, decides they want to leave Stamford Bridge this month.

Conte said: "I prefer to have players very happy to stay here than to have players that are unhappy because when you are unhappy you transfer this to the other players, to me, to my staff and I don't like this. If we can avoid this, I’d like to avoid this situation."
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom