Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
Kina juma jux wapo wengi...msipoteze nguvu kuwajibu!hilo goli la zola lina uhusiano gani na kocha? na wewe unaujua mpira? chelsea kapoteza mechi ngap toka aje conte? ligi ya uingereza ni ngumu sana ndugu hasa kutetea ubingwa.
Mamluki sijui umetokea wapi wewe
