Mkuu unaijua Chelsea kitambo ila Kuna mambo huwa hufatilii huyo kocha unaye msema alifukuzwa kwa matokeo kama hihivi, ila huwa kunaupepo huwa unapita kwa wachezazi huwa wanaharibu maksudi mm nadhani bod au Tajiri kwa sababu ukiangalia Moses, hazad, William siyo mpira wao huoMimi ninaifamu Chelsea tangu mwaka 2007 tulipochukua UEFA NDOGO, GUAFRANCO ZOLA alipiga goli la ushindi dk. 75, alikuwa supersub, tukachukua ndoo ya ulaya.
Chelsea hatuna kocha, arudi ancelote TU, tunadraw na Everton, tunafungwa na moyes, tulifungwa na Burnley, HAMNA KOCHA, NI AIBU KWA UONGOZI WA CHELSEA
Leo mnamwambia hivyo Conte.!!! Aisee siku zinakimbia sana si mchezo kabisa.Mimi ninaifamu Chelsea tangu mwaka 2007 tulipochukua UEFA NDOGO, GUAFRANCO ZOLA alipiga goli la ushindi dk. 75, alikuwa supersub, tukachukua ndoo ya ulaya.
Chelsea hatuna kocha, arudi ancelote TU, tunadraw na Everton, tunafungwa na moyes, tulifungwa na Burnley, HAMNA KOCHA, NI AIBU KWA UONGOZI WA CHELSEA
Wakuu tuache unafiki kabisa. Kocha anafundisha kabumbu safi kabisa. Timu inamiliki inatengeneza nafasi sema tu tunakosa mmaliziaji. Sasa sijui hapo unataka Conte aingie afunge mwenyewe au? Morata ambaye ndo tegemeo pekee hakuwa uwanjani. Na yeye bado anahitaji misimu angalau miwili ili awe kwenye peakMimi ninaifamu Chelsea tangu mwaka 2007 tulipochukua UEFA NDOGO, GUAFRANCO ZOLA alipiga goli la ushindi dk. 75, alikuwa supersub, tukachukua ndoo ya ulaya.
Chelsea hatuna kocha, arudi ancelote TU, tunadraw na Everton, tunafungwa na moyes, tulifungwa na Burnley, HAMNA KOCHA, NI AIBU KWA UONGOZI WA CHELSEA
Hatutaki mifumo dume ss everton ww ulitaka umfunge ndio mpira kuwa na kifua wwTumechoka KBS na matokeo haya, HATUMTAKI CONTE, aondoke TU, tunamtaka ancelote TU
Kumbuka man cty msimu ulio pita c kafungwa na evarton kamba 4 tena akafungwa lecestrctyWakuu tuache unafiki kabisa. Kocha anafundisha kabumbu safi kabisa. Timu inamiliki inatengeneza nafasi sema tu tunakosa mmaliziaji. Sasa sijui hapo unataka Conte aingie afunge mwenyewe au? Morata ambaye ndo tegemeo pekee hakuwa uwanjani. Na yeye bado anahitaji misimu angalau miwili ili awe kwenye peak
Kwa mtu anayeangalia soka la Chelsea lilivyo atapeleka sifa nyingi kwa Conte.
Moses hakuwa hivi kabla ya Conte, Alonso pia, Azpillizueta amengaa zaidi tangu Conte aje, Hazard ni moto huwezi kumlinganisha na Hazard wa Mourinho, Bakayoko anajengewe uwezo na natumaini misimu miwili inayokuja kila mtu atamkubali. Sasa kama unaona tatizo ni Conte njoo na hoja tukuelewe. Ila kum-accuse tu ni kutomtendea haki.
Yanayofanyika Man City ni kwamba watu waligharamika. Hivi mlete Jesus na Aguerro Chelsea uone mziki wake.
Uwe unafatilia mambo usikariri sio kila mchezaji anapokosekana basi majeruhi,Morata was suspended for today's game kwasababu ana five bookings(yellow cards) 4 in EPL and 1 in carabao cup.Yaaan morata ana igharimu timu kweli game 2 au 3 tu yye majeruhi hatuwez shinda bila straiker
Umesoma ujumbe wangu ukauelewa vzr au una ongea tu kisa una mdomo wa kuongea kima juuu ya mti wa nyanya chungu wwwUwe unafatilia mambo usikariri sio kila mchezaji anapokosekana basi majeruhi,Morata was suspended for today's game kwasababu ana five bookings(yellow cards) 4 in EPL and 1 in carabao cup.
Yule mzee mwenye kisukari na presha ya kushuka pale Emirates ana majibu mazuri ya swali lako.HIVI HII NI TIMU AU GENGE LA WAHUNI!!!!!!????