The _Analyst
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 466
- 564
Unajua kama Everton ana makombe mengi ya EPL kuliko Chelsea? Hiyo isiwe excuse lakini ukweli ni kwamba Everton imeimalika. Lakini tatizo kubwa la Chelsea ni umaliziaji. Na hapa anahitajika mtu wa kumpa ushindani Morata lkn pia kusaidia pale Morata anapokosekana uwanjaniSASA kama tunamiliki mipira mbona hatushindi, tunashindwa kufunga timu ndogo. Chelsea ni timu kubwa, tulichukua UEFA ndogo mwaka 1997, SASA kwa mpira huu, tutakufa nyingi MNO KWA Barcelona KBS