Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Fabrigas angefunga bao tamu sana kama ule mpira ungeingia wavuni
Morata pia kidogo atufungie bao alipoingia
Kipa wa southampton amepangua sana leo za morata na fabi
 
Moja kati ya wachezaji waliocheza vizuri leo ni Bakayoko mkuu kwa vipindi vyote.

Bakayoko akiwepo kikosi kama hakina balance hivi. Kuna umuhimu wa kutafuta midfield mwingine. Sioni tofauti yake na Loftus Cheek bado.

Anyway, huu ni mtazamo wangu binafsi kabisa hauhusiani na uhalisia wa uwezo wake!!!
 
Mkuu ulikuwa ukimfatilia Bakayoko alipokuwa Monaco?
 
Bakayoko akiwepo kikosi kama hakina balance hivi. Kuna umuhimu wa kutafuta midfield mwingine. Sioni tofauti yake na Loftus Cheek bado.

Anyway, huu ni mtazamo wangu binafsi kabisa hauhusiani na uhalisia wa uwezo wake!!!
Ni kama mimi nilivyo sijawahi kumkubali cahill hata siku moja
 
Tetesi
Carlo Ancelotti atarudi Stamford Bridge na kuwa meneja wa Chelsea kabla ya kuanza kwa msimu mpya. (Daily Record)
 
Tetesi
Batshuayi, 24, anatarajia kuondoka Chelsea mwezi ujao kwa mkopo kupunguza hofu ya kupoteza nafasi yake katika kikosi cha Ubelgiji kitakachocheza katika kombe la dunia. (London Evening Standard)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom