Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Conte bado kila mechi yeye anaona ni majaribio hii ndio aliyokuwa msimu huu
Ila leo timu ilikuwa hovyo sana hamna morali kabisa wachezaji wanaonekana kuchoka
 
FT: Westham 1 Chelsea 1
Mints: 289
Goal by Babu seyaaa


What a long shot from UKONGA GEREZANI
[emoji28][emoji28][emoji28]
Wanasema wanaitaka nafasi ya 2, Hahaaaaa. Ila msihofu kesho City anasimamishwa.

Cc: NEMANJA MATIC
 
Hapa Tukimuangalia CRYSTAL PALACE aliwakalisha Chini...!
Na tukimuangalia WEST HAM kashawakalisha Chini...!

Bingwa Mtetezi una Ubia gani na RELEGATORS?
😀😀😀😀


IMG_20171209_175531.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom