Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Cyo kupaki bus bhna timu hakuna ya kupambana anapanga anavyotaka bora afukuzwe tu nimemchukia from naw na siku zote unamuweka bench mcezaji mzuri unatuwekea bakayoko hana ufundi
Conte nilimnawa alipolizingua dume la kazi Diego Costa na kusajili striker mrembo. Hata akitimuliwa leo mimi kwangu sherehe
 
Conte nilimnawa alipolizingua dume la kazi Diego Costa na kusajili striker mrembo. Hata akitimuliwa leo mimi kwangu sherehe
Pande zote zitabeba lawama. Nakumbuka Conte aliwahi kulalamika kuwa ana kikosi kichache. Yule jamaa mweusi akapingana naye mno

Kwa hivyo tusubiri yatakayojiri, maana ndo mpira
 
Pande zote zitabeba lawama. Nakumbuka Conte aliwahi kulalamika kuwa ana kikosi kichache. Yule jamaa mweusi akapingana naye mno

Kwa hivyo tusubiri yatakayojiri, maana ndo mpira
Msimu ujao hatutokuwa naye
 
And here he is, the real bakanyoko sio yule mlieuziwa
a02f8bbc3d113ebf6fd801d78d949a63.jpg
 
IVI II TIMU NDOTUNAYOENDA NAYO UEFA ROUND INGINE KWELI AU WATATURUHUSU KUSAJILI JANUARY
 
Ila wakuu mi nnavoona kama shida ni bakayoko si alitolewa immeaditily kipindcha 2 kilipoanza??
kwahyo inamaana walioingia wameshndwa kufanya changes dk zote 45 sec half?

Mi navyoona kama timu hatukuzidiwa kimashambulizi wala ufundi.. Uchambuzi ni kuwa madogo walibahatika kupata bao mapema kisha kurud wote nyuma na kupak kama sio sem bas ni tren kabsa

Leo ilitakiwa tabadili mfumo wa kuingia kwa pasi had golini bali wapge cross za kushtukiza, na wangekuwa wabunifu zaid hasa kujarbu mashut ya mbal. baada ya kuona vjana wanapaki tren muda wote
Anywy hatukuwa na bahat pia maana hata uvyo tulifanya mashambuliz makal yenye kuzaa matunda ila bahat haikuwa yetu, tusikatae kuwa mpra nao unabahat zake hata kama unaujua..!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom