safi sana gomesss, naona drogba leo hakushangilia goli kuna ujumbe katuma.
Hahahahahaha wapenzi wa Drogba (Rev Masa & Peasant, Invisible & Co) I mean Chelsea LOL! hongereni labda mnaweza kuambulia 3 points leo lakini kijasho chembamba kimewatoka hadi kusawazisha
Urembo umemzidikakosa penati...wameweka mambo sawa huyu binti mrembo wa afrika kasawazisha
GOMEZ man of the match..... a point is enough though.....s'thing is better than Nothing.....karibuni kwenye thread ya Gunners kesho....would love to read from u GUYS......
Haya mmepoteza nafasi ya kurudi kwenye kilele cha EPL, msikose kutushangalia kesho tukiwafanya vibaya SAF na MANU.
Matanga bila ya wasi wasi yanaisha leo; yatahamia rasmi kwenu kuanzia kesho
Khe khe khe na leo hapa marufuku wasiingie kabisa .... ...labda kesho watoe draw ..... Mwezi mzima sasa umepita wanachungulia tu khe khe kheeeeeeeeeeeeeee Jamani eheeeeeeeeee Matanga mnamaliza lini?
Invisible if you can convey my condolences to Mungiki Brother, I presume he might have moved from Kibera to an unknown location fearing the worse. A month without his sight in the house of mafioso is not normal. Also without forgetting the Peasants who surround the broken bridge and the reverands (Masanilo & Kishoka) who've surrounded the bridge with homily players.
Please let Abraham O Vich not miss his timely appointment to deliver the inevitable (mpunga radhina) otherwise the matanga will not end as planned and cause dire consequencies to the Roman empire.
Hisia zako tu, tumezoea hizi sentence kutoka kwao. Ulisema last kwamba kuna kitu kitatokea Chelsea in two days, mbona hatujaona kitu?!
Ndoto ya mwendawazimu!
Du! Aliwahi kwenye appointment na kutoa mpunga, lakini Gomez kaficha khe kheeeeeeeeeeeee niliwaambia mkijitahidi mtatoa sare ....... Endeleeni kuchungulia tu chacha pamoja na uhodari wa kuja kushangilia Chelsick kwishnei ...... ..
Khe khe kheeeeeeeeeeeee
mkuu naona umerudi,karibu sana.
Hahahahahaha wapenzi wa Drogba (Rev Masa & Peasant, Invisible & Co) I mean Chelsea LOL! hongereni labda mnaweza kuambulia 3 points leo lakini kijasho chembamba kimewatoka hadi kusawazisha
Kweli mkuu kauli hile ilinitoka kutokana na matokeo yenu mabovu kwangu haikuwa kawaida, nikajua kuna kitu kinaendelea ndani ya Chelsea ambacho nilitegemea tutasikia tu katika siku mbili zile nilizo taja.Kumbe wala hakuna kitu chochote kinachoendelea zaidi ya KUFULIAAAAAAA.
Ujumbe wa Drogba kuto shangilia goli ni kwamba hakufurahishwa na kupigwa bench.Anyway mkuu hongera kwa kupata point moja.
Nimeshakaribia Mkuu AW, ahsante sana. Kesho tunawachapa wale MANU 2-1 msikose jamvini kufuatilia mechi yote.
Hakuna mchezaji anayeweza kuwa na furaha akiwekwa bench kwenye big match kama hii, kwa hiyo kutoshangilia is not a big deal. Yeah, asante kwa point, japo tumetupa 2 kwenye bin....lakini naona timu imeanza kujituma, kwa hiyo nategemea ushindi kwa mechi zetu mbili kubwa zinazofuata ukizingatia tutakuwa na home advantage kwa mechi zote.
Nimeshakaribia Mkuu AW, ahsante sana. Kesho tunawachapa wale MANU 2-1 msikose jamvini kufuatilia mechi yote.
sawa sawa hata siku na sunderland mlikuwa na home advantage iliwasaidia sana.
Game over, 1-1. Now we're welcome some Arse WUMs to post on here
Matanga bila ya wasi wasi yanaisha leo; yatahamia rasmi kwenu kuanzia kesho
Karibu tena mkuu! Lakini umeshatia nuksi, maana haujawahi kutabiri correct tangu nikuone ukifanya hizo tabiri zako. I can see the reverse of it tomorrow.
Si unajua kwamba Emirates Library is our "home", na wenye uwanja wanachachawa wakiwa pale?
Harry Redknapp said:... This time on Chelsea's goal:
Harry Redknapp said:"I've watched it again, and it was hand-ball by Didier Drogba in the build-up, but he hit that with real power. Heurelho Gomes would probably save it normally but he made up for it with the penalty."