Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

doctor_holiday_sm.jpg


...mgonjwa haulizwi Uji?



...AljuniorTz, umepotea sana kaka,
Anyway, rukhsa kuwaazima majamvi ilhali nanyi m' matangani?


You're slowly losing your brain cells.....lol
 
Bora wa nirudishie kiwanja cha "henry" highbury lol.Washabiki wanao tuwakilisha emirates nao pia wanatuangusha hawajuhi kushangilia mpaka dakika ya mwisho.
I hope wachezaji wenu wataendelea na malaria walioletewa na Drogba.

Ndio maana ikaitwa Emirates Library, no passion, no songs, nothing, just plastic fans filling the stadium.
 
doctor_holiday_sm.jpg


...mgonjwa haulizwi Uji?



...AljuniorTz, umepotea sana kaka,
Anyway, rukhsa kuwaazima majamvi ilhali nanyi m' matangani?


Jamani Invisible kanibonyeza hapa anasema wageni wamekuwa wengi wodini na mgonjwa hapati oxygen ya kutosha hivyo hala hala jukwaa linaweza kuadimika kidogo kwa maintanance .... lakini vile vile amesema Mungiki Brother anaingia kwa remote control ... ..... jamani eheeeee Wacha (eni) kuchungulia tu .... ..



Khe khe kheeeeeeeeeeee
 
Ahsante sana Mkuu! hahahahahah Hutaki kunipa credit tu mkuu, nimekuwa 100% accurate katika "baadhi" ya utabiri wangu kuhusu mechi zetu ukifuatilia hapa jukwaani utaona hivyo. Hata yule Sheikh Yahaya wa Hussein huwa anaboronga mara nyingi tu, I hope kuhusiana na utabiri wangu haitakuwa hivyo kesho vinginevyo nitaingia mitini LOL!

Ndio maana ulikimbia hapa kwa muda mrefu, umesubiri mpaka mnaongoza ligi ndio unakuja sio? Unfortunately, hapo juu mwisho wenu kesho, au 27 Dec....lol
 
Chelsea boss Carlo Ancelotti on his side's display in their draw with Tottenham: "We have to be happy because we played well against a strong team away from home. We had the chance to win with the penalty, but our performance was good and we can look forward with confidence now. This performance was a good place to start."
 
Arsenal mna bahati mbaya, mnacheza na Chelsea wakati wameanza kupata form....msijali sana lakini, tutaanza na Manure kwanza.
 
Ndio maana ulikimbia hapa kwa muda mrefu, umesubiri mpaka mnaongoza ligi ndio unakuja sio? Unfortunately, hapo juu mwisho wenu kesho, au 27 Dec....lol


Hahahahahah haya bwana Kaka we bania tu hizo credit ambazo nastahili toka kwako. Najua bado umenuna kwa matokeo ya leo ya kushindwa kurudi kileleni.

 
...ha ha ha!, ukisoma hii habari, waweza jua nani ana lose Brain Cells haraka zaidi yangu.



...Mourinho, Avram Grant, Scolari, Ray Wilkins,... Next?

Wenger is next. Msimu utaisha kama kawaida yenu, sioni mkiwa hapo juu on New Year, same ol' arse, PRETENDERS.
 
Hahahahahah haya bwana Kaka we bania tu hizo credit ambazo nastahili toka kwako. Najua bado umenuna kwa matokeo ya leo ya kushindwa kurudi kileleni.


Hapana sijanuna, nimefurahi sana maana perfomance yetu ilikuwa nzuri sana leo ukilinganisha na mechi kama 8 zilizopita, hizi ni dalili kwamba tunarudi kwenye form wakati muhafaka na hatuko mbali na timu ya juu.
 
Hapana sijanuna, nimefurahi sana maana perfomance yetu ilikuwa nzuri sana leo ukilinganisha na mechi kama 8 zilizopita, hizi ni dalili kwamba tunarudi kwenye form wakati muhafaka na hatuko mbali na yimu ya juu.

Itaje tu timu ya juu ni ipi, usione noma Mkuu LOL!
 
...ha ha ha!, ukisoma hii habari, waweza jua nani ana lose Brain Cells haraka zaidi yangu.



...Mourinho, Avram Grant, Scolari, Ray Wilkins,... Next?

That's why nimekwambia una lose brain cells, na inaonekana ni kwa kasi kuliko nilivyofikiri mimi, unaamini vipi magazeti ya udaku?! Ukiambiwa uthibitishe hiyo habari hapo juu huwezi, kuna magazeti mengi sana ya kusoma kwa nini unachagua The Sun, NOTW, Daily Mirror, Daily Express and the like?
 
Hahahahahaha wapenzi wa Drogba (Rev Masa & Peasant, Invisible & Co) I mean Chelsea LOL! hongereni labda mnaweza kuambulia 3 points leo lakini kijasho chembamba kimewatoka hadi kusawazisha

Bubu umefufuka? Karibu sana mwanawane habari za kupotea?
 
It ws not an impressive game despite gaining a point. Wachezaji wetu wama[yya sana katika ball control wakati anapokea au kupigiwa pasi. Wengi inaelelekea wanacheza wakitazama majani badala ya kutazama juu na uwanja na kuona positioning za wenzao.

Kalou na Analka wana matatzo ya knatisha mipira au kujiposition vizuri haa kujituma kufuata mipira wakipigiwa pasi. Aidha ni wazito kuja kusaidia nyuma kulinda goli hata half field wakati tueona kina Totte Dafoe, Mrusi, Bale na wendine wanarudi nyuma wakati wa mashambulizi na pasi zao ni zile ndefu za kupeleka mputa defense ichoke.

I always wonder kwa nini kocha anamuanzisha Kalou na si sturridge ambaye anacheza vizuri sana kwa kutumia positioning nzuri na ana field ueye advantage an pasi zake mara nyingi huleta sekeseke huku Kalou ni kama paa au dikidiki, kurukaruka ovyo.

Tunahitaji a strong defence midfield wa kusaidiana na Essien Mikel mara nyingi inakuwa kaam kasinzia na Ramirez disadvantage yake ni kuwa anahitaji kula ugali kwa sana na kujaza misuli na asiwe kipepeo.

I am yet to be impressed maana kama wangecheza akili, leo tungetoka na bao 4!
 
Wenger is next. Msimu utaisha kama kawaida yenu, sioni mkiwa hapo juu on New Year, same ol' arse, PRETENDERS.
That's why nimekwambia una lose brain cells, na inaonekana ni kwa kasi kuliko nilivyofikiri mimi, unaamini vipi magazeti ya udaku?! Ukiambiwa uthibitishe hiyo habari hapo juu huwezi, kuna magazeti mengi sana ya kusoma kwa nini unachagua The Sun, NOTW, Daily Mirror, Daily Express and the like?

...tch-tch! Peasant :doh: bana!
Unatukasirikia sie bure kwa maamuzi ya Abramovich...

0,,10268~9212870,00.jpg



Michael Emenalo - Assistant first team coach.

Chelsea coach Emenalo tipped to become first Nigerian to lead Premier League club

12.12.10 |
Nigerian Michael Emenalo is in line to become the first of his countrymen to take charge of a Premier League club.
The Mail on Sunday says Chelsea manager Carlo Ancelotti could be on his way out of Stamford Bridge - and favourite to take charge on a caretaker basis is Emenalo.

Players still believe there are considerable tensions between Emenalo and Ancelotti, with the squad unclear whether the Nigerian coach is actually meant to go on to the training pitch or whether he is just an observer, studying for the UEFA Pro Diploma coaching badge.

Some within the club believe Emenalo would be asked to take over from Ancelotti if the Italian were to be dismissed this month.

...hivi, Mourinho was replaced na Avram Grant?, historia yenda ikijirudia...
 
article-1337992-0C753137000005DC-519_634x419.jpg


..."Ee-meno-Looo", anajifanya yupo busy "Oooo"! ha ha ha haaaaa....trying to impress Abramovich..."Naija oooo!!!"

BTW;

Frank Arnesen resigns as Chelsea sporting director

_50178710_arnesen.jpg
Arnesen joined Chelsea from Tottenham in 2005


Chelsea sporting director Frank Arnesen has resigned from his position and will leave at the end of the season, the club have announced. The 54-year-old has spent five years at Stamford Bridge, his role including managing the club's youth development.
The Dane, who previously worked at Tottenham, said he was leaving to "seek a new challenge".


...Connecting the dots, Chelsea Youth Academy - - -Ray Wilkins, - - - -, Arnesen, - - - I bet it is NOT fun anymore working for Abramovich!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom