Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

11b704ed78d9ac1dea583cbbcbd70962.jpg
Wee Eddo wewe,Mungu anakuona.
 
Watu wameisahau Chelsea ya Emenalo ya kusajiri wachezaji wawili mpaka watatu kila nafasi. Lakini pia wanasahau kuwa huu mfumo wa kununua vijana wadogo na kuwaendeleza ili kuwauza na wengine kuwaingiza katika first team ni yeye kaubuni.
Na nahisi Monaco wanaweza kumchukua Emenalo maana si kichwa cha mchezo
Jamani nyie ndio mlikuwa munataka michael asepe ssa leo hiii mumeanza kuongea uzuri wake achen uzandiki
 
1 - Chelsea have lost just one of their last 15 home PL games against Man United (in Oct 2012), winning nine and drawing five. Confident.

Na hii mechi waliyotufunga tulikuwa 9 uwanjani na wao 12 (Howard Webb).

match_chelsea_a-ashx.jpg
Ndo ile gemu aliyopewa Tores na Mikel Red cards. Hii mechi naikumbuka sana. Niliumia sana siku hiyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom