Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

10 - No player has scored more headed goals in the big five European leagues since the start of last season than Alvaro Morata. Leap.

DN4vPT-WkAAKU68.jpg
 
1 - Chelsea have lost just one of their last 15 home PL games against Man United (in Oct 2012), winning nine and drawing five. Confident.

Na hii mechi waliyotufunga tulikuwa 9 uwanjani na wao 12 (Howard Webb).

match_chelsea_a-ashx.jpg
 
71 - Tammy Abraham has been directly involved in 71% of Swansea’s PL goals this season (4 goals, 1 assist) – a league high ratio. Cygnet.

DNyxVCEV4AEJC0s.jpg:large
 
Ilikuwa ni lazima mmoja kati ya hawa hapa andoke darajani, lakini kwa busara za Bodi ya Chelsea na Mmiliki wameamua huyu Mkurugenzi waufundi asepe. Ilikuwa ni vita kubwa mno kufikia kutoelewana katika Kusajiri na Kuuza wachezaji.

Kabla ya huyu kundoka mtakumbuka Conte alikuwa na mkutano (exclusive) na mmiliki wa Chelsea Roman juzi kabla ya game na mashetani wekundu. Sisi wapenzi wa Chelsea tunashukuru Mungu kwamba Jembe letu sasa litakuwa na maisha marefu darajani ili kutupatia mataji mengi zaidi maana kikwazo kimeondoka.

Nawakilisha, huku nikiwapa pole mashetani wekundu baada ya juzi tulivyowanyima Udi wa kufukiza mashetani yao ili yapande na kuwachapa kimoko huku tukiwaonyesha kandanda la kuvutia.

Welcome back Ngolo Kante.

skysports-michael-emenalo-chelsea-technical-director_4148883.jpg

JS115206062_Antonio_Conte-SPORT-xlarge_trans_NvBQzQNjv4BqqVzuuqpFlyLIwiB6NTmJwX0bkpTzL98EivwAUYvigDc.jpg
 
Ilikuwa ni lazima mmoja kati ya hawa hapa andoke darajani, lakini kwa busara za Bodi ya Chelsea na Mmiliki wameamua huyu Mkurugenzi waufundi asepe. Ilikuwa ni vita kubwa mno kufikia kutoelewana katika Kusajiri na Kuuza wachezaji.

Kabla ya huyu kundoka mtakumbuka Conte alikuwa na mkutano (exclusive) na mmiliki wa Chelsea Roman juzi kabla ya game na mashetani wekundu. Sisi wapenzi wa Chelsea tunashukuru Mungu kwamba Jembe letu sasa litakuwa na maisha marefu darajani ili kutupatia mataji mengi zaidi maana kikwazo kimeondoka.

Nawakilisha, huku nikiwapa pole mashetani wekundu baada ya juzi tulivyowanyima Udi wa kufukiza na kuwachapa kimoko huku tukiwaonyesha kandanda la kuvutia.

Welcome back Ngolo Kante.

skysports-michael-emenalo-chelsea-technical-director_4148883.jpg

JS115206062_Antonio_Conte-SPORT-xlarge_trans_NvBQzQNjv4BqqVzuuqpFlyLIwiB6NTmJwX0bkpTzL98EivwAUYvigDc.jpg
Kazi sasa kumpata mtu atakayefaa zaidi hasa mwenye ushawishi japo kwa mtazamo wangu mtu kama Frank lampard anaweza fanya vizuri akiaminiwa
 
Kazi sasa kumpata mtu atakayefaa zaidi hasa mwenye ushawishi japo kwa mtazamo wangu mtu kama Frank lampard anaweza fanya vizuri akiaminiwa
hii nafsi ni muhimu mno kwa Club, na ndiyo maana kuna baadhi ya manunuzi na mauzo ya wachezaji yalikuwa yanaleta utata mkubwa; wapo watu wengi wenye uwezo - siku mbili tatu atakuwa kashapatikana.
 
hii nafsi ni muhimu mno kwa Club, na ndiyo maana kuna baadhi ya manunuzi na mauzo ya wachezaji yalikuwa yanaleta utata mkubwa; wapo watu wengi wenye uwezo - siku mbili tatu atakuwa kashapatikana.
Ni kweli mkuu unachokisema muhimu kutofanya kosa my hope conference ya kocha na Boss ilikuwa na umuhimu mkubwa kuliko ata kuachia ngazi kwa Emenalo
 
Hata ikitokea conte akafukuzwa basi nitamkumbuka kwa tukio la baada ya mpira kumalizika
Wakati mourinho akimsubiri conte aje ampe mkono
Yeye conte alikuwa bize kushangilia ushindi na wasaidizi wake ni kama alikuwa hana habari na mikono ya jose kabisa
Kweli bifu limekolea
 
Nafikiri kuna shida kubwa kati ya yule mwanamke na emenalo ndio maana ameamua kukaa pembeni
Sidhani kama conte amehusika hapa
Watu wameisahau Chelsea ya Emenalo ya kusajiri wachezaji wawili mpaka watatu kila nafasi. Lakini pia wanasahau kuwa huu mfumo wa kununua vijana wadogo na kuwaendeleza ili kuwauza na wengine kuwaingiza katika first team ni yeye kaubuni.
Na nahisi Monaco wanaweza kumchukua Emenalo maana si kichwa cha mchezo
 
Ngoja nichangamkie hili nafasi haraka
Its a high paid post kama ukiipata basi umaskini bye bye, mshahara wa mil 340 TShs kwa wiki kamandaa. Ila unatakiwa kuwa na akili sana IQ yako iwe high, kufanya kazi na Roman ukimaliza mwaka we ni staa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom