Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

dcc13554f460575cb32bb8146973b786.jpg
Chelsea legend: Morata, Kante and Christensen could be the future of Chelsea

Pat Nevin says that seeing Christensen, Kante and Morata currently in their performance against Manchester United is a positive sign for the future of the Blues. All three he calls can be the core of Chelsea, as Terry, Lampard and Drogba do it.
 
46372AE700000578-5071697-image-m-66_1510355325617.jpg

Ila dogo kaosha sana jana aise...good game!

46374B3A00000578-5071697-image-a-64_1510355279122.jpg

Ozil hakufua dafu..na alivyo mvivu sasa..

463829E800000578-0-image-a-56_1510354708288.jpg

Akampiga na ... juu!!!

Hivi kulikuwa na haja ya kumnunua Bakayoko na kumtoa mkopo huyu!???
Mkuu hata mimi nampenda huyu dogo lakini tuwe wa kweli bado hajamfikia bakayoko
Apambane kwa miaka 2 anaweza kumfikia tatizo la Waingereza ni kuridhika mapema
 
Duh miaka miwili kabisa mkuu!?? Si atakuwa amezeeka...23!!!
 
Kizuri hakijifichi kitaonekana na watu wataanza kufuatilia na ataanza kugonga vichwa vya habari
Miaka 23 alitakiwa awe ameshatuonyesha ni kifaa hatari
Narudia tena Waingereza wanaridhika mapema badala ya kuendelea kupambana
Mwangalie bakayoko ukiambiwa ana miaka 22 huamini ni kutokana na uzoefu wake na kucheza kwa bidii
Ameshafikia nusu fainali UEFA anajua namna ya kuipigania team kwenye makombe
Dogo ana safari ya kutuonyesha kitu kama anacho kila mtu akione
 
46372AE700000578-5071697-image-m-66_1510355325617.jpg

Ila dogo kaosha sana jana aise...good game!

46374B3A00000578-5071697-image-a-64_1510355279122.jpg

Ozil hakufua dafu..na alivyo mvivu sasa..

463829E800000578-0-image-a-56_1510354708288.jpg

Akampiga na ... juu!!!

Hivi kulikuwa na haja ya kumnunua Bakayoko na kumtoa mkopo huyu!???

Mentor Huyu dogo naomba tu asije kuuzwa. Maana mimi namuona kama mrithi wa nafasi ya Fabregas akiondoka maana nae ndio naelekea kingoni hivyo
 
Mkuu hata mimi nampenda huyu dogo lakini tuwe wa kweli bado hajamfikia bakayoko
Apambane kwa miaka 2 anaweza kumfikia tatizo la Waingereza ni kuridhika mapema

Sidhani kama tunatakiwa kumfananisha na Bakayoko. Mimi naona anatakiwa acheze namba ya Fabo kama mrithi wake sio nafasi ya Bakayoko. Japo nakubali hawezi kufikia uwezo wa Fabregas hata siku moja
 
Kizuri hakijifichi kitaonekana na watu wataanza kufuatilia na ataanza kugonga vichwa vya habari
Miaka 23 alitakiwa awe ameshatuonyesha ni kifaa hatari
Narudia tena Waingereza wanaridhika mapema badala ya kuendelea kupambana
Mwangalie bakayoko ukiambiwa ana miaka 22 huamini ni kutokana na uzoefu wake na kucheza kwa bidii
Ameshafikia nusu fainali UEFA anajua namna ya kuipigania team kwenye makombe
Dogo ana safari ya kutuonyesha kitu kama anacho kila mtu akione
kabisa mkuu mitoto ya kiingereza sijui inakumbwa na ugonjwa gani nadhani ni vyombo vyao vya habari vinawakuza sana wachezaji hadi kupelekea kutokujituma.
 
Mshambuliaji wa Chelsea, raia wa Uhispania Alvaro Morata, 25, amesema kuwa yuko tayari kurudi Real Madrid licha ya kuuzwa na mabingwa hao wa Ulaya chini ya miezi minne iliopita. (Mirror)
 
Game of tactics: Chelsea fc vs Man u

Walichokizungumza hawa jamaa ni sahihi kabisa, kukaba wing back za Chelsea kwa sasa haisaidii zaidi ilimpa fab space ya kutosha kama kiungo mshambulizi , nguvu kubwa inapohamishiwa pembeni basi unakua rahisi kwa kiungo kama fabrigas kufanya anachotaka, ni mbinu nzuri ya mwalimu conte ila sina shaka kama ingefaa bila KANTE amerudisha hadhi ya Chelsea eneo la kiungo.
 
kabisa mkuu mitoto ya kiingereza sijui inakumbwa na ugonjwa gani nadhani ni vyombo vyao vya habari vinawakuza sana wachezaji hadi kupelekea kutokujituma.
Mpaka leo Walcott wanasemaga ana potential ya kuwa next Henry . Waingereza wanajua wenyewe akili zao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom