Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 2,233
- 3,132
A Man of the Match Performance.
Mkuu Chelsea wampe nafasi huyu kijana au watajuta mbeleni kama ilivyokuwa kwa Kevin De Bruyne.
A Man of the Match Performance.
Mkuu Chelsea wampe nafasi huyu kijana au watajuta mbeleni kama ilivyokuwa kwa Kevin De Bruyne.
Yaani match moja tu apate nafasi akomae miaka miwili then tutajua yuko fiti au team zikianza kumfatilia basi tutamrudisha kama christiensen
Ngoja nitamwangalia tena match na Brazil ndio nitajua ameanza kujielewa au bado
Maana Waingereza wanajijua wenyewe
Wanajipa sifa nyingi wakati hawajui kuzitafuta
Kasema akishashinda makombe n chelsea ndo atarud kasome vzrMshambuliaji wa Chelsea, raia wa Uhispania Alvaro Morata, 25, amesema kuwa yuko tayari kurudi Real Madrid licha ya kuuzwa na mabingwa hao wa Ulaya chini ya miezi minne iliopita. (Mirror)
Numbisa hazard hauzwi au kama wana pauni milioni 300 na isco juu hapo sawa tutawauziaMchezaji wa Chelsea Eden Hazard, 26, ndiye ni nambari moja kati ya wachezaji wanotafutwa na meneja wa Real Madrid Zinedine Zidane msimu ujao. (Sunday Express)
Numbisa hazard hauzwi au kama wana pauni milioni 300 na isco juu hapo sawa tutawauzia
️Naona umeanza tena kuja kujifariji mkuu 😀😀😀😀Week ijayo kumbukeni mtakuwa Anfield kupambana na rejuvenated Liverpool!Week ijayo napunguza points kwako hadi kuwa ziro