Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

fbd4cb4d6327f3259d37a2516e1ab5b1.jpg

Please make sure to help this poor child.
 
bila Ngolo kante ndiyo utajua udhaifu wa Luiz na cahil.
Ni kweli kabisa Ngolo ndo nucleus. Akiwepo mabeki wanajidai sana. Hata Luiz ulikuwa mtu hatari ila baada ya Kante kuondoka akaanza kutiyanga.

Ila unaonaje muitaliano Carlo Ancelott akiwa technical director wa Chelsea? Hasa ukizingatia kuwa ana uhusiano mzuri na Conte
 
Hapo sawa kama itawezekana ila nasikia nafasi hii inaweza akapewa frank lampard
 
Hapo sawa kama itawezekana ila nasikia nafasi hii inaweza akapewa frank lampard
Position inahitaji mtu mzoefu kwenye soccer management kumbuka club ina vitengo vingi, mpira wanawake. Accademy, timu ya wakubwa, scouting, recruitment, mikataba ya wafanyakazi na wachezaji wote nk , Frank bado. Department anayoongoza huyu mtu ndiyo dira ya club
 
Ni kweli kabisa Ngolo ndo nucleus. Akiwepo mabeki wanajidai sana. Hata Luiz ulikuwa mtu hatari ila baada ya Kante kuondoka akaanza kutiyanga.

Ila unaonaje muitaliano Carlo Ancelott akiwa technical director wa Chelsea? Hasa ukizingatia kuwa ana uhusiano mzuri na Conte
Carlo ni kocha mzuri, position hii haihitaji kocha inahitaji mtu creative na mwenye akili nyingi sana kuhusu morden soccer; mpira wa sasa ni akili zaidi hela kiasi.
 
71 - Tammy Abraham has been directly involved in 71% of Swansea’s PL goals this season (4 goals, 1 assist) – a league high ratio. Cygnet.

DNyxVCEV4AEJC0s.jpg:large
Huyo kijana ni hazina nyingine ya Chelsea. Nimesoma shuhuda zake ana usongo sana wa kucheza XI ya Conte
 
Position inahitaji mtu mzoefu kwenye soccer management kumbuka club ina vitengo vingi, mpira wanawake. Accademy, timu ya wakubwa, scouting, recruitment, mikataba ya wafanyakazi na wachezaji wote nk , Frank bado. Department anayoongoza huyu mtu ndiyo dira ya club
Huyo mnaijeria sijui kwa nini aliacha na huku ameacha legancy kubwa ya Chelsea ya mafanikio makubwa
 
Kwan Emenelo ameondika tafadhali nataka kujua
Alishaondoka na sasa nafikiri wanazungumza na wakuu wa Monaco ndiko atakapoishia. Lakini huyu mnaijeria pamoja na kutofautiana na wenzake ndiye chimbuko la mafanikio ya Chelsea foe the past 10 yrs
 
Lampard ni mtu anayeijua Chelsea kwa undani na anaweza kuwa kipenzi cha mashabiki. Wasiwasi wangu ni uzoefu wake katika maswala ya scouting. Naamini Chelsea ina wazoefu wengi na wenye uwezo mkubwa. Let's wait and see
Daah ila ni moja kati ya nafasi nyeti sana, ukifany makosa unaharbu timu kabsaa....
 
Conte akiwa uwanjani na ktk media haoneshi dalili kua ndani ya team anasuguana na uongozi wake sn.

Ingawa mpk sasa Conte ndio anaonekana kua ni mshidi wa hizi vita.

Kashida saga Costa, sasa Emenalo kasepa na Saga la kumdrop Luiz siku ya game na Utd kashinda. Mana km angepigwa na Utd huku akiwa kamdrop Luiz on the stand Inge backfire sn kwa Conte. Lkn mpk sasa kashinda yote ni mtu asieogopa ku-take risk ata km some of his decision will put his job in danger of being sacked, Conte doesn't care.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom