Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mwenye picha ya mjukuu wa mama ndalichako aniwekee tafadhali
422f54f9f90bdecf88e3a18420bc145f.jpg

Uyo hapo ameweka pozi

e1eeaf37f162be1a5752d8ff7e84d13e.jpg

Nyingine hiyo hapo yuko na mhindi kiko
 
0691c7b3d2c5f51e67aac4d8aa9da0bc.jpg

There are not many people who can beat Mourinho the way Conte has... Respect
 
Kwanza niseme christiensen anastahili kuanza kwenye nafasi ya luiz
Amemzidi luiz vitu vingi sana huwa namshutumu cahill mara nyingi lakini sasa nahamia kwa luiz ni bora akae benchi hata jukwaani ajifunze nidhamu ya mchezo
Hata match na Roma ukiacha conte kumpeleka katikati aspi
Kule nyuma sababu za kufungwa bao la mapema ni luizi na mengine yote yaliyofuata hana nidhamu ya mchezo luiz ndio maana anatugarimu
Urejeo wa ngolo bakayoko hazard walikuwa powa sana kwenye ile match
Kwa kweli kwa sasa namsamehe cahil makosa yake ni madogo sana kwa sasa ukilinganisha na luiz
Conte ni lazima ampe christiensen nafasi ya luiz
Jana alinifanya nisiwe na wasiwasi na man u

Congratulation christiensen ni muda wako sasa naamini conte ameshagundua mbaya wake pale nyuma
Sio cahill tena ni luiz
Huenda hana mazoezi ya kutosha kama msimu uliopita au nini sijui ila msimu huu luiz yuko hovyo sana
 
Lukaku ni mchezaji wa team ndogo sio kubwa
Msimfananishe morata na na lukaku
Ni kijana mwenye kutumia akili kubwa
Hata goli alilomfunga de gea lilikuwa ni bao bora sana la kichwa
De gea alibaki kuutizama mpira unavyozamia ndani tu
Alikuwa hana la kufanya
 
Kuna vita baridi kati ya Conte na Kenedy pamoja na David Luiz. Sababu kuu ni kutotii maagizo ya meneja. Fate yao inaweza kuwa kama ya Costa kwani Conte kadai mchezaji yeyote anayekaidi maagizo yake hatacheza kwenye XI yake. Hata substitute hatapangwa na ndio maana hata kwenye sub Luiz na Kenedy hawapo.
Lete chanzo cha habari
 
Kwa wale wapuuzi wachache wanaoangalia mpira bila kuelewa nini wanaangalia na nini maana ya mpira walikuwa wakisema:
1.Cahill akianza Chelsea inafungwa
2.Cahill akianza Chelsea haitoki na Clean Sheet
3.Cahill ndio chanzo cha Chelsea kufungwa magoli.
Leo naomba mrejesho wenu mnajijua haina haja ya kuwatag hapa.
We ndio hujaangalia vizuri mwisho mwisho pale kama refa angeona ilikuwa tuta pale na ingekuwa moja kwa moja
Cahill ni beki mzuri ila shida yangu nae siku zote ni ukabaji wake wa kurudi nyuma na kukabia kwenye box
Anatugarimu wakati mwingine
 
Habari za mida wadau wa Chelsea.

Niwape hongera sn kwa ushindi mzuri wa Leo.

Vile vile nipende tu kuwashsuri wapenzi wa Chelsea wenzangu tupende kusapoti team yetu na wachezaji wetu ktk Hali yoyote ile. Na tusifate mkumbo wa hbr zisizo na mashiko.

Hapo nyuma kulikua na mjadala mkubwa sn juu ya wachezaji baadhi wa Chelsea. Leo mmeona wenyewe. Sasa mna kipi cha kujifunza au kuelezea kutokana na mchezo wa Leo?

Nilitoa michango hapo nyuma na nikaelezea matatizo yanayo isibu Chelsea.

Moja ya sbbu nilisema ile Hunger ya kufunga au kushinda ya wachezaji wa Chelsea imeshuka. Na Leo mmeona ilivorudi.

Nilieleza kwamba Conte asimpange Azpilicueta km wingback na kujaza mabeki kibao kuna ifanya team inakua butu mana Azpi hawezi siku hizi kupandisha mipira mbele. Nikasema sasa ni wakati wa Conte kuwaamini kina Zappacosta na Christensen. Na Leo amefanya hivo matokeo yake mmeyaona.

Kitu kingine Leo Conte alichofanya ni kumpunguzia Faby majukumu ya ukabaji sn na badala yake atengeneze passes za kumwaga. Mmeona Leo kz yake.???

Nimpongeze sn Christensen kwa kiwango chake kizuri mana alimfunika kabisa Lukaku.

Pia nafikiri ata mjadala kuhusu Cahill sasa nafikiri utakua umefungwa. Mana amewaprove wote wrong.

Kwa sasa ni hayo tu. Tuendelee kushehelekea ushindi
mkuu mm kwenye cahil naungana na eden kimaro jamaa mda wowote akianza anatuangushia jumba bovu
 
Mkuu ata wewe????

Mpe stahiki yake Captain wetu Cahill.
Leo kacheza vizuri ila huu ukabaji wake wa kurudi nyuma unanisumbua sana
Sasa hivi nina nongwa kubwa na luiz
Kwa alichoonyesha dogo christiensen jana sijui kama conte atamchezesha tena luizi
 
Kwa wale wapuuzi wachache wanaoangalia mpira bila kuelewa nini wanaangalia na nini maana ya mpira walikuwa wakisema:
1.Cahill akianza Chelsea inafungwa
2.Cahill akianza Chelsea haitoki na Clean Sheet
3.Cahill ndio chanzo cha Chelsea kufungwa magoli.
Leo naomba mrejesho wenu mnajijua haina haja ya kuwatag hapa.
cahill ana makosa meng madogo madogo tushukuru ile penalty walivopeta
jana mtu wa kumwagiwa sifa ni christensen
 
Bado Nina doubt naye sana, let him prove me wrong on the pitch kama alivyofanya leo, pia Mimi huwa sibebwi sana na matokea mazuri ya hapa na pale ,consistency ndio muhimu ..
Yaani mkuu uko kama mimi hata msimu uliopita cahil alikuwa anabebwa na viwango bora vya Asp,luiz,na alonso
Kuna match alikuwa ananiboa sana msimu uliopita japo tulitwaa ndoo
Jana kacheza poa sana ukiacha penalti aliyotaka kusababisha dk za mwisho
Tatizo lake hasomeki leo yuko poa kesho hayuko sawa

Yeye na luizi wa msimu huu ni majanga sana
 
Kuna vita baridi kati ya Conte na Kenedy pamoja na David Luiz. Sababu kuu ni kutotii maagizo ya meneja. Fate yao inaweza kuwa kama ya Costa kwani Conte kadai mchezaji yeyote anayekaidi maagizo yake hatacheza kwenye XI yake. Hata substitute hatapangwa na ndio maana hata kwenye sub Luiz na Kenedy hawapo.
Shida ipo sana kwa luiz
Kenedy ni utoto tu ila anakuja vizuri mno dogo anaonyesha ana kitu mbele ya safari anatakiwa amsaidie
 
Kwanza niseme christiensen anastahili kuanza kwenye nafasi ya luiz
Amemzidi luiz vitu vingi sana huwa namshutumu cahill mara nyingi lakini sasa nahamia kwa luiz ni bora akae benchi hata jukwaani ajifunze nidhamu ya mchezo
Hata match na Roma ukiacha conte kumpeleka katikati aspi
Kule nyuma sababu za kufungwa bao la mapema ni luizi na mengine yote yaliyofuata hana nidhamu ya mchezo luiz ndio maana anatugarimu
Urejeo wa ngolo bakayoko hazard walikuwa powa sana kwenye ile match
Kwa kweli kwa sasa namsamehe cahil makosa yake ni madogo sana kwa sasa ukilinganisha na luiz
Conte ni lazima ampe christiensen nafasi ya luiz
Jana alinifanya nisiwe na wasiwasi na man u

Congratulation christiensen ni muda wako sasa naamini conte ameshagundua mbaya wake pale nyuma
Sio cahill tena ni luiz
Huenda hana mazoezi ya kutosha kama msimu uliopita au nini sijui ila msimu huu luiz yuko hovyo sana
Na Conte ameshasena wazi Luiz itabidi apambane sana ili kurudisha hiyo nafasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom