Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ndo hasara ya kushabikia timu mbovu mbovu...konte atafukuzwa kazi kabla ya msimu kuisha hii ni kwa sababu timu ipo under one man show (abramovic)
 
Tarehe kama ya leo nilikupiga 5-0, ilikua mwaka 1999.
ferguson alipata bipolar.
REMIER LEAGUE FEATURES
1999: Chelsea end United’s unbeaten run with rout

Back in 1999, Chelsea routed Man United 5-0 at Stamford Bridge to end United’s 29-match unbeaten run. Chelsea and United play again this Sunday at 11:30am ET on NBCSN.
1999 mashabiki wa Manchester tunaukumbuka kwa kubeba treble baada ya kuzigalagaza na kuziburuza buruza vibaya mno Barcelona na Juventus (moja ya timu iliyokua hatari sana kipindi hicho) huku tukimliza kama mtoto Samuel Kuffour na bishoo Basler na bayern yao.

Mzee kipara muitaliano collina nae ndio kitu pekee anachokikumbuka kwa huo mwaka

Mashabiki wa Manchester tukiwa tunaukumbuka huo mwaka kinamna ya pekee kabisa bahati mbaya wenzetu mnaukumbuka huo mwaka kwa kumfunga utd 5 na kupata goli lenu la kwanza uefa, hii ndio tofauti kati ya Hasheem Thabit na joti
 
Timu yeyote sio Chelsea tu
Mancity
Manu
Barca
Psg
Msululu ni mrefu , kuna key players wakikosekana chemistru ya timu inakataa.
Baadhi ya makocha wanaweza kureplace hao key players.Sir Alex Ferguson kuna baadhi ya mechi alikuwa akawapumzisha key players akawareplace na average players na still akapata matokeo kuna kipindi aliwatumia wachezaji kama Butt,Brown,Oshea,Fletcher,Park Ji Sung na still alikuwa anashinda.Currently Guardiola ameitengeneza timu kila mchezaji ana mchango mkubwa

Pochetino ameifanya Spurs msimu huu kwa muda mrefu ilikuwa inacheza bila ya Wanyama,Dembele na Dier, Je umeona pengo la Walker au Rose msimu huu ?
 
Kocha mpuuuuz yule eti haamin kwenye vijan una muuza mchezaji kama BETRANT ISDORE TRAORE KWA FEES 9M UNANUNU MTU KM MORATA SAWA NA UPUUUZ KBXA CHEKI OLMPICY LYON ANAKIWASHA HIV MUSONDA ANA TIFAUTI GAN NA MBAPE MPE NAFASI ACHEZE
 
Baadhi ya makocha wanaweza kureplace hao key players.Sir Alex Ferguson kuna baadhi ya mechi alikuwa akawapumzisha key players akawareplace na average players na still akapata matokeo kuna kipindi aliwatumia wachezaji kama Butt,Brown,Oshea,Fletcher,Park Ji Sung na still alikuwa anashinda.Currently Guardiola ameitengeneza timu kila mchezaji ana mchango mkubwa

Pochetino ameifanya Spurs msimu huu kwa muda mrefu ilikuwa inacheza bila ya Wanyama,Dembele na Dier, Je umeona pengo la Walker au Rose msimu huu ?
Tuweni wakweli jamani

Fletcher hakua mchezaji wa kawaida. Hii ndio ilikua injini ngumu na yenye roho ya paka na mbishi kuliko Carrick Leo mmesahau kisa tu mwataka kuinanga the blues?

Jamani hebu tuwe na break kidogo.

Park Ji Sung Leo kawa mchezaji wa kawaida wakati ndio alikua mshale mwepesi mkali wenye sumu Kali ambao ukikuchuna tu km matibabu yake hujaenda tibiwa Appolo India lazima ufe. Leo hii kawa mchezaji wa kawaida?

Brown na Oshea hawa walikua defenders wazuri sn wabishi wenye kucheza sehemu za beki zote iwe Kati pembeni na ata ktk DM Leo wachezaji wa kawaida kisa Chelsea

Tuwe wakweli ata kidogo.
 
Ntuzu karibu tena jukwaani

1.Mpira wa siku hizi brain ya timu inakuwa katikati Kante aliibeba Leicester alivyoondoka pengo lake likaonekana akaja Chelsea mchango wake ukaonekana akikosekana pengo linaoneka wazi

2.Defence ya Chelsea sio nzuri sana mara nyingi viungo (Matic,Kante) ndio wanaifanya inaonekana ni nzuri wakikosekana makosa yao yanaonekana vizuri hizi game za Roma zimeonyesha ubovu wao

Hayo makosa ya kina Pedro,Willian,Cahil wanayafanya mara nyingi lakini viungo huwa wanafanya yasionekane siku nyingine
 
Unaweza kumlinganisha Fletcher/Park Vs Scholes /Keane
Unaweza kumlinganisha Oshea,Brown na kina Rio,Vidic,Stam,GNeville ?
 
Asante mkuu.

Ngoja nilale mkuu kesho tutaendelea. Lkn ata km Kante angekuwepo lkn si kwa makosa ya Rudiger au Alonso au Pedro.

Leicester City walikosa ubingwa msimu uliopita kwasabbu ya mtoto wa mwenye team kuwaharibu wachezaji na wakaacha kumsikiliza Kocha kisa boss anawakingia kifua na wanaenda kula nae bata na si kuondoka kwa Kante.

Kuna sbbu ipo kubwa naona wengi hamuigusii kesho nitaielezea kwasasa wacha nilale

Usiku mwema
 
Unaweza kumlinganisha Fletcher/Park Vs Scholes /Keane
Unaweza kumlinganisha Oshea,Brown na kina Rio,Vidic,Stam,GNeville ?
Ndio naweza.

Wakati Scholes na Kean wanaelekea kutundika daluga juu hapo Utd Daren Fletcher na Park wakawa ndo wanakuja sasa na walikua moto kweli si mchezo.

Ata km Oshea na Brown hawakufika viwango va Stan na Rio na Vidic lkn walifanya mambo makubwa sn. Mbona Leo ktk left back ya Utd Hakuna aliemfikia kiwango Evra na bado waliopo hamuwasemi kua ni wachezaji wa kawaida? Rojo, Shaw, Blind na Damian?
 
Date: 31st Octo

kiongozi, mechi ya jana kwa sisi wana blues tunaoijua team vizuri tulivoona tu LINEUP tulijua tunafungwa goli nyingi ila idadi ndo haikujulikana. kwasababu zifuatazo
1. kiungo-kumuweka fabregas+bakayoko ambao wote wanacheza kama wanalazimishwa VS viungo strong wa roma. drinkwater alitakiwa aanze na bakayoko na fabregas akae benchi.
2. beki-cahili hastahili kuwepo kwenye 1st11 nadhani mliona hadi akaamua kumtoa dakika ya 51 ku avoid further damage. weka[LUIZ+RUDIGER+AZPICULETA].
3.Marcos Alonso kashuka kiwango hastahili kuwepo kwenye 1st11 insteady muweke KENNEDY dogo anajituma.
4.Azpculeta kucheza wingback insteady of zappacosta ni tatizo kwa conte. weka zappa mtu ambaye kazoea namba yake.
Umekaa na simu yako unaandika kiwepesi as if wewe unaijua Chelsea au no kocha mzuri kuliko conte aisee, Unataka kutuambia wewe unamjua vizuri zapacosta kuliko conte aliyemleta pale Chelsea duuuh.
 
Unaweza kumlinganisha Fletcher/Park Vs Scholes /Keane
Unaweza kumlinganisha Oshea,Brown na kina Rio,Vidic,Stam,GNeville ?
Km G Neville alikua butu kweli ata Raphael na Fabio walikua wazuri

Ni Ukirengesa tu ndo ulikua unambeba
 
Nafikiri SASA ni wakati muafaka kuongeza wachezaji vijana kwani hawa akina fab na Cahill wamechoka MNO, wanatusabishia mateso mengi moyoni, tunakosa raha KBS. Conte SASA awaamini na kuwapanga madogo akina Kennedy, msonda, Christensen
 
Umekaa na simu yako unaandika kiwepesi as if wewe unaijua Chelsea au no kocha mzuri kuliko conte aisee, Unataka kutuambia wewe unamjua vizuri zapacosta kuliko conte aliyemleta pale Chelsea duuuh.

Kwahiyo hata kama team yetu inaungwa kizembe na kucheza mpira mbovu tusikosoe tukae kimya kama tumekatwa vichwa sio?????????????????
hivi unajua jinsi sisi die hard fans tunavoumia chelsea ikifungwa na kucheza mpira mbovu kama sunderland???????????
nadhani wewe utakuwa fan wa wenger.
 
Conte v Mourinho: Who celebrates best?
Will we see the celebrations of Chelsea boss Antonio Conte or Manchester United manager Jose Mourinho after their Premier League meeting on Sunday?
 
Chelsea vs Manchester United is already a must-win game because of Man City's title strength, says Eidur Gudjohnsen
 
Blog Columns Football History
On This Day in Football: Ford runs out of gas, Arsenal trigger Chelsea’s downfall
Samiran Mishra 3 November, 2017 Arsenal, Chelsea, English Championship,English League Cup, English Premier League, Football History, General Football News
On this day in 2001, the legend that is Tony Ford made the last of his incredible 931 appearances in the Football League.

Born in Grimsby, Ford began his footballing journey with his hometown club back in 1975. He made his debut for Grimsby Town at the age of 16 in the old Third Division before amassing 355 appearances for the Mariners in eleven seasons. His stay with Grimsby included a brief loan stint at Sunderland in 1986. This was followed by three seasons with Stoke City and four seasons with West Bromwich Albion.
 
Chelsea news: Jimmy Floyd Hasselbaink slams 'ridiculous' Antonio Conte rumours - Exclusive
CHELSEA hero Jimmy Floyd Hasselbaink has dismissed speculation suggesting Antonio Conte is under pressure at Stamford Bridge
 
Forget Cahill – Here Are 3 Top Class Replacements Who Chelsea Can Sign Including This Serie A Defensive Wall

Marquinhos – PSG

Stefan de Vrij – Lazio
 
Paul Merson explains why he feels Cesc Fabregas is a 'liability' in Chelsea's midfield
The Sky Sports pundit believes the Blues are really suffering from N'Golo Kante's injury
 
Jose Mourinho was surprised Man Utd were offered Nemanja Matic
Manchester United manager Jose Mourinho has admitted he was surprised when he received a call from Nemanja Matic's agent offering him the chance to buy the player during the summer transfer window.

Matic has been one of United's standout players since joining from Chelsea for £40m in July. The midfielder has played every minute in the Premier League this season
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom