Miguu ilikuwa inawatetemeka kwasababu ya kibarua mlichonacho tarehe tano..kazi tunayo kila sehemu vipigo vyatuandama
Conte ni kocha mmoja choko sana hajitambua anafanya nn hili jitu Bakayoko limepa nini akae chin ajichunguze timu itamahinda atasepa eti ngola kante tu ndio timu inakuwa mbovuuuSina wasiwasi na ku-qualify i!a naamini Conte kajifunza jambo.
Kila siku unabadili mabeki kweli? Unajaribisha nini kwa mfano?

Kocha mama yuleKante vp si alisema yupo fit game ya leo?
Duh umemuona na wewe!?? Dah yani anajog kabisa bila stress.Chelsea yasasa tumekosa wachezaji wenye sprit katika timu , mchezaji kama bakayoka anapoteza mpira halafu hana hata mpango wa kukaba ....Namkumbuka KANTE
Duh umemuona na wewe!?? Dah yani anajog kabisa bila stress.
Ila kwa Bakayoko nailaumu mgt ya timu iliyomuuza Matic.