46384bcfdec5f4f328f3e14a7d8c85dc.jpg
the one who laugh last laugh longest
 
Ondoa Asp hapo katikati, ondoa fabrigas la sivyo kufungwa ni haki yetu
Cahill ningekuwa mimi conte ni benchi tu
Conte kakosea kati na nyuma
Rudiger, aspi,christiensen

Katikati alonso,luiz,bakayoko,alonso

Kumchezesha aspi katikati ni kufeli mapema tu wakati zappacosta yupo

Narudia conte anapenda kufungwa mwenyewe
Akitimuliwa alilaumu mwenyewe
ukiongea weka akiba ya maneno
 
Hauna beki
Hauna mido
Huwezi mfunga yyt top 5 aisee!
Yule forwards wa Watford kakosa bao 2 za wazi mno,walistahili Watford washinde!
Hamna team pale aisee
 
Hauna beki
Hauna mido
Huwezi mfunga yyt top 5 aisee!
Yule forwards wa Watford kakosa bao 2 za wazi mno,walistahili Watford washinde!
Hamna team pale aisee
Hahahaha wee jamaa banaa unapambna sana.

Me naomba unipigie spurs tu usizingue aise.
 
Hauna beki
Hauna mido
Huwezi mfunga yyt top 5 aisee!
Yule forwards wa Watford kakosa bao 2 za wazi mno,walistahili Watford washinde!
Hamna team pale aisee
spurs ni top ngapi? kamuulize nilimfanyaje?
ukishapata jibu pambana na hali yako shwaaaaain mmoja na nusu we:D
 
Back
Top Bottom