Bobbyray
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 1,378
- 1,782
Nafikiri Conte anapaswa kumpumzisha Azpilicueta huyu jamaa ametumika sana mpaka kiwango chake kinashuka
Nafikiri Conte anapaswa kumpumzisha Azpilicueta huyu jamaa ametumika sana mpaka kiwango chake kinashuka
Siyo kwa mechi ya leo mkuu tunahitaji point 3 kuliko kitu chochote ukizingatia majeruhi muhimu kibao hapo Luiz na Bakayoko wanacheza tu lakini hawapo fit 100% sasa na Azpilicueta akikaa nje inakuwaje?Nafikiri Conte anapaswa kumpumzisha Azpilicueta huyu jamaa ametumika sana mpaka kiwango chake kinashuka
Tusipofungwa urudi hapa utengue kauliAkipangwa cahili tu tunafungwa tena mpaka conte agundue kosa lake tu
Ondoa Asp hapo katikati, ondoa fabrigas la sivyo kufungwa ni haki yetuChelsea's XI vs Watford:
Courtois
Rüdiger,David Luiz,Cahill
Azpilicueta,Fabregas,Bakayoko,Alonso
Pedro,Morata,Hazard.
Tumeshapigwa cha pili hukoTusipofungwa urudi hapa utengue kauli
Tunafungwa kwa uzembe wa conteFungweni tu hakuna namna *****
Hamna kiungo hapo licha ya kujaza mabeki lakini Chelsea wanaruhusu magoli mengi sana msimu huuTunafungwa kwa uzembe wa conte