Yaani hadi kocha analalamika wewe unapingana nae????Kama unaifatilia timu basi uje na hoja nyengine maana kwa hoja hiyo ya spirit nimeshakupa mifano ya mechi kadhaa hapo juu.
Tuna kikosi chepesi kwa uthibitisho upi labda?
Sawa dogo, tuma salamu kwa watu 3.chelsea sio timu ni kikundi cha wahuni
natuma salamu kwa nando mke wake na mwanae ujumbe ni kwamba chelsea ni kikundi cha wahuni anapaswa kujua iloSawa dogo, tuma salamu kwa watu 3.
unajua maana ya squad depth?Yaani hadi kocha analalamika wewe unapingana nae????
Yaani tusimuamini mtu ambaye kakabidhiwa jukumu na sisi tunaona then tukusikie wewe?????
Una kingine kipya?????natuma salamu kwa nando mke wake na mwanae ujumbe ni kwamba chelsea ni kikundi cha wahuni anapaswa kujua ilo
Hivi wewe huwa unafatilia hata press conference za antonio conte??????????unajua maana ya squad depth?
Conte alikuwa akilalamika hayo kipindi msimu unaanza Bayoko na Hazard wakiwa majeruhi na baadhi ya wachezaji wanatumikia adhabu(Cahill,Fabregas na Moses) wakati huo Zappacosta na Drinkwater hawajasajiliwa hivyo kupelekea ufinyu wa kikosi.
Kwasasa Chelsea wana squad depth tena kubwa sana almost kila nafasi ina watu wawili ambao viwango vyao havipishani sana kwa ubora kasoro pale kwa Morata.
Ni bora ungezungumzia injuries zilizoikumba timu kwasasa na baadhi ya wachezaji wa kikosi cha kwanza kutokuwa vizuri hivi karibuni kama sababu ya timu kutokufanya vizuri ningekubaliana na wewe.
Sawanatuma salamu kwa nando mke wake na mwanae ujumbe ni kwamba chelsea ni kikundi cha wahuni anapaswa kujua ilo
Tuma na ile mourinho alivofirigiswa 4-0 stamford bridge last season.
Mbona unajikuta kichwa ngumu??????
Mbona unajikuta kichwa ngumu??????
Tuma na zile chelsea 4-0 man urinated.
Blue is the colour
naona uelewa wako ndiyo tatizo hatutafikia muafaka.Hivi wewe huwa unafatilia hata press conference za antonio conte??????????
Maana daily huwa analalamikia squard depth hata jana baada ya kufungwa kwenye press alivoulizwa alijibu "my message was clear(to the board/staff).
Juzi napo alisema anafikiria kuwachezesha watoto akina Ampadu na Scot as midfield au beki kama luiz wawe DM.
Sasa kocha alalamike daily kuhusu squard depth then wewe useme chelsea tuna kikosi kipana, kweli???????????
Wewe MD ya fab+bakayoko unaona itaweza pambana na barcelona/psg/spurz/madrid/bayern????????
Back to december, utakapokuwa kwenye nafasi yako pendwa ya 6.