Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Camerlengo

Unasahau kitu kimoja Chelsick ni mafia team, unakumbuka jinsi Gullit walivyomtosa? Tabia kama ni ya wizi kama mkwere haiwezi kubadilika ni wewe pamoja na washabiki ambao wanaweza kubadilika sio mafia team.



Mbona ninyi mlivyomtosa David Dein hakuna aliyesema kitu, au mambo ya kettle calling the pot black??!!
 
Wajua hii recession itatuumiza sana mwaka huu, Chijui huu umafioso wetu kama
kweli tutafika maana tuna gurupu la mapensioners hapa!
Ule mpunga wa kuwapa ma-referee haupo tena du! makubwa haya

Chacha chijui kama watanitosa na mimi?

Well, najua siku zote unaongea kama mtoto wa miaka 12 bila kujua unachoongea. It's obvious hujui hata history ya timu yako Arsenal unapoongea kuhusu rushwa kwenye ligi ya England, ni timu moja tu kubwa imewahi kuhusishwa na rushwa nayo ni Arsenal. Hiyo Arsenal unayoishabikia leo hii pengine isingekuwa inacheza Premier league kwa sasa kama sio kwa msaada wa kupandishwa daraja katika mazingira ya RUSHWA mwaka 1914-15 baada ya kumaliza msimu ikiwa ya sita kwenye daraja la pili, BRIBERY IS AN INTEGRAL PART OF ARSENAL'S HISTOTRY.

The club controversially rejoined the First Division in 1919,[17][18] despite only finishing sixth in 1914–15, the last season of competitive football before the First World War had intervened — although an error in the calculation of goal average meant Arsenal had actually finished fifth,[19] an error which was corrected by the Football League in 1975.[20] The First Division was being expanded from 20 teams to 22, and the two new entrants were elected at an AGM of the Football League. One of the extra places was given to Chelsea, who had finished 19th in the First Division and thus had been already relegated. The other spot could have gone to 20th-placed Tottenham Hotspur (also relegated), or to Barnsley or Wolves, who had finished third and fourth in the Second Division respectively.[19]

Instead, the League decided instead to promote sixth-placed Arsenal, for reasons of history over merit; Norris argued that Arsenal be promoted for their "long service to league football", having been the first League club from the South.[18] The League board agreed; they voted eighteen votes to eight to promote Arsenal ahead of their local rivals Tottenham Hotspur,[17] which has fuelled the long-standing enmity between the two clubs. It has been alleged that this was due to backroom deals or even outright bribery by Sir Henry Norris,[17] colluding with his friend John McKenna, chairman of Liverpool and the Football League, who recommended Arsenal's promotion to the AGM.[17]

No conclusive proof of wrongdoing has ever come to light, though other aspects of Norris's financial dealings unrelated to the promotion controversy have fuelled speculation on the matter; Norris resigned as chairman and left the club in 1929, having been found guilty by the Football Association of financial irregularities; he was found to have misused his expenses account, and to have pocketed the proceeds of the sale of the Arsenal team bus.
Source: Wikipedia
 
article-0-0C0218BE000005DC-473_468x296.jpg
article-0-0AFBCAA4000005DC-20_233x423.jpg


Crocked ... ..... .... JT



article-0-0C1226F5000005DC-1000_468x286.jpg


Kamsaidie baba kuuza bangi tu sasa.
 
Alex naye majeruhi.
Chelsea facing crisis as Alex joins John Terry on sidelines. Chelsea are facing a defensive crisis with the news centre-back Alex faces up to two months on the sidelines with a knee injury. Terry one month
 
Naombea tucheze na Chelsea next week

Wewe badala ya kuwaombea warudi full nondo uwapachike magoli unaombea timu nyonge? Una wasi wasi na timu yako imekuwa mdebwedo. Mnakumbana nao 19th Dec Darajani .... .... khe khe khe eeeee what a week then wanatinga Emirates boxing day.
 
Nina imani na kocha, nafikiri anajua ku handle situation kama hii, lazima kesho kufanyike changes za mfumo wa uchezaji. kutokuwa na Terry, Alex, Essien, Lampard na Ashley Cole kwenye first 11 ni challenge kubwa sana.

Let us cross our fingers.
 
Nina imani na kocha, nafikiri anajua ku handle situation kama hii, lazima kesho kufanyike changes za mfumo wa uchezaji. kutokuwa na Terry, Alex, Essien, Lampard na Ashley Cole kwenye first 11 ni challenge kubwa sana.

Let us cross our fingers.

Timu kadri inavyoenda mbele ndivyo inavyozidi kulegea, nini wasiwasi sana na December, kwani kipindi hicho mechi huwa nhyingi na ziko karibu karibu sana, kwangu mimi pengo kubwa ni kumkos Essien na Terry, mwenendo wa timu sio mzuri kabisa, sasa na sisi tunakuwa ni watu wa mashakamashaka kama Man United
 

_49899271_raywilkins.jpg


Former England midfielder Wilkins (left)
started his playing career at Chelsea



Ray Wilkins is to take legal advice following his departure from Chelsea. The former assistant manager left the club on 11 November after being told his contract would not be renewed. But in a statement Wilkins said he was seeking advice on "a number of questions arising from my undoubtedly unfair dismissal". On Thursday Chelsea announced that Michael Emenalo had been promoted to the role from his former position as head opposition scout.



Ngumi zimeanza khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Aya ssa...mshachapwa kimoja. Peasant na wenzio msikimbie apa leo had kieleweke.
 
Naona watoto wamebana kweli kweli...mhh!!! Unaweza kupasua kioo cha TV kwa hasira
 
Well derserved loss. No excuses tumepata kona 16, free kicks karibu 5 na bado tumefungwa goli! Priceless!
 
Bad luck today, we outplayed them but lost the game. Kipa wao alikuwa man of the match!
 
Watani poleni kwa kichapo kingine, alafu kichapo cha goli moja uwa kinauma sana kuliko magoli mengi. Sie ndio hivyo tunakwenda ado ado tushatie kwenye point mmetuzidi magoli tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom