Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Daah cjui kwanin board ilimuachia Tammy Abraham, Musonda Jr hakuw wakubak chelsea asee.....
 
Bado najiuliza ni kwa nini impadu hajacheza namba ya kante
Match kama hizi zinahitaji watu wa kazi fabrigas sio mtu wa kazi pale katikati

Asante hapa ndipo anaponiboa sana na sijui kwa nini conte asimweke benchi
Yupo rudiger luiz, aspi au christiensen
Naona anatafuta kufukuzwa huyu

Daah cjui kwanin board ilimuachia Tammy Abraham, Musonda Jr hakuw wakubak chelsea asee.....

Hivi kwanini amemsajili Zappa halafu hampangi???
Kwa nini ?
 
Chelsea iangalie vizuri isije ikamaliza ikiwa namba 10. Ukifungwa na Palace na Banley maana yake uko weak sana. Msimu uliopita ili kuchukua ubingwa tulipoteza mechi 2 tu. Sasa hata round ya kwanza haijaisha tumeshapoteza mechi mbili na drop moja. Kiukweli we are not among the tittle contenders kutokana na matokeo ya leo.

Bila Morata na Kante leo kikosi kimekuwa kibaya kuliko hata Arsenal.
 
Duh kazi kweli kweli hata sijui nisemeje. Hata kama ni kumkosa Kante sio kwa kiwango hiki.

Au mazoezi wachezaji wafanyayo kwenye national teams ni tofauti sana au nini?
 
I hope next game Willian hatoanza aisee. Akitaka kuanza na Willian basi awaweke Hazard Pedro Willian pamoja.
 
Chelsea iangalie vizuri isije ikamaliza ikiwa namba 10. Ukifungwa na Palace na Banley maana yake uko weak sana. Msimu uliopita ili kuchukua ubingwa tulipoteza mechi 2 tu. Sasa hata round ya kwanza haijaisha tumeshapoteza mechi mbili na drop moja. Kiukweli we are not among the tittle contenders kutokana na matokeo ya leo.

Bila Morata na Kante leo kikosi kimekuwa kibaya kuliko hata Arsenal.
Rekebisha wewe mmepigwa game tatu
 
Msimu uliopita mlipoteza mechi 5.
 
Conte anajitakia mwenyewe kupoteza match
 
Kwa maoni yangu mimi kule nyuma ingekuwa hivi
Rudiger, christiensen, aspiliqueta

Then alonso,luiz,bakayoko,moses

Halafu mbele namaliza na
Hazard, batshuay,pedro

Hapa tutakuwa salama mengine tumuachie conte ila mimi ningepanga hivyo kikosi changu
Hiki kikosi changu kingeshinda hii match
 
Duh kazi kweli kweli hata sijui nisemeje. Hata kama ni kumkosa Kante sio kwa kiwango hiki.

Au mazoezi wachezaji wafanyayo kwenye national teams ni tofauti sana au nini?
Mi nadhani kama alivosema mdau hapo awali kuwa kama tutaendelea hv bas ubngwa tusahau na tujipange vizur kwa mwakani..

Tatizo letu ni kuwa bado tunacheza mfumo na style ileile ya msimu uliopita, kitu ambacho ni hatar maana wabaya wetu wameshatujulia..

Pili, ni kwamba usajili wetu una walakini kutokana na wakongwe kushindwa kuimprove wameendelea kucheza kimazoea

Tatu, ni kuwa wapinzani wetu hasa wanaoongoza ligi wamesajili vyema na timu imekamilika kuanzia beki hadi foward, yaan kila mtu anaperfom

NINI CHA KUFANYA
-Conte anatakiwa abadilishe mfumo pamoja na wachezaji, labda tusubiri dirisha dogo kama tutaambulia viungo na streakers wa kutosha
 
Chelsea iangalie vizuri isije ikamaliza ikiwa namba 10. Ukifungwa na Palace na Banley maana yake uko weak sana. Msimu uliopita ili kuchukua ubingwa tulipoteza mechi 2 tu. Sasa hata round ya kwanza haijaisha tumeshapoteza mechi mbili na drop moja. Kiukweli we are not among the tittle contenders kutokana na matokeo ya leo.

Bila Morata na Kante leo kikosi kimekuwa kibaya kuliko hata Arsenal.
Mmepoteza mechi tatu mkuu Barney, man City, crystal palace
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom