Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ondoka Costa baki Batshuayi
Ondoka Matic lete Bakayoko/Drinkwater!!
Kuna makocha wana ego za ajabu sana na wandhani ni mbinu zao zinafanya team ishinde wala sio wachezaji
Conte anafukuzwa hata Dec haifiki,kocha wenu mwehu!
Ahahahaha ahahaha
Wakati Costa yupo Batshuayi alikuwa chaguo la pili na hadi sasa ni chaguo la pili hivyo hakuna kilichobadilika.
Costa kauzwa kwasababu za kinidhamu na inaeleweka hakuna mchezaji aliye juu ya timu.
Unapoongelea kuondoka kwa Costa muongelee Morata kwasababu ndiyo mtu aliyesajiliwa kuziba nafasi ya Costa na takwimu zinajieleza juu ya alichofanya hadi sasa.
Matic aliomba mwenyewe kuondoka kwasababu alikataa kubaki na kugombania namba baada ya Chelsea kumsajili Bakayoko hivyo kuongeza idadi ya viungo wa kati kufikia wanne.
Drinkwater amesajiliwa kuongeza depth katika kikosi kwasababu msimu huu Chelsea watashiriki katika mashindano manne tofauti na msimu uliopita waliposhindana katika mashindano matatu.
Conte hawezi kufukuzwa kirahisi kama unavyofikiria katika akili yako.
 
455279B300000578-4980396-image-a-32_1508003377541.jpg


Kwa leo naomba nimtetee captain aisee...sikuona kosa lake leo!

45524A3E00000578-4980396-image-a-96_1507992122374.jpg


4552477E00000578-4980396-image-a-100_1507992193487.jpg


He played well, and captained his team well..

455268C500000578-4980396-image-a-104_1507992808681.jpg


Hata sidhani kama alipoteza pasi...
 
Waliokosea wasemwe tu..
4554BA7000000578-4980396-It_was_an_afternoon_to_forget_for_Conte_who_saw_his_defending_ch-a-10_1508021779528.jpg


Kama kocha kwenye team selection yake. Kwa mtazamo wangu, kama Kante hayuko kumchezesha Fabregas ni kupunguza nguvu ya kukaba. Hata hivyo kwa Crystal Palace sidhani kama kocha alikosea labda tu Bakayoko hakuwa keen kwenye kukaba zaidi ya kupanda. Kwa leo nadhani kakosea sana kumwanzisha Willian mbele ya Pedro!

4553F68B00000578-4980396-With_star_striker_Alvaro_Morata_out_injured_for_Chelsea_Michy_Ba-a-2_1508021779290.jpg


Huyu dogo sijui nisemeje...dah!

Na mwenzake hapo nyuma, Willian, leo hakuna in form kabisa!
 
‘I don’t like to lose, especially twice in a row. For sure today my soul is bad and it will be difficult for me to sleep, but we must have the same sensation, me and my players, to turn a negative situation into a positive.’

conference-call--finding-solutions.img.png
 
Uliangalia mechi na Atletico Madrid? Uliangali mechi na Spurs? Uliangalia mechi na Burnley?
Au unazungumzia upambanaji wa aina gani?

Naifatilia timu mwanzo mwisho na sio leo tu, spirit ya timu kuchukua ubingwa ndani ya mechi hizi nane ingeshajionesha kaka,

Anyway hapa ni lazima tukubali kutokubaliana, kwangu mimi tuna kikosi chepesi sana sana,
 
1507997708417.jpg


Nakubaliana na Conte, huyu dogo akiachana na social media akajikita uwanjani atakuwa mchezaji mzuri na tegemezi kwetu...
Wangetoa huyo dogo akabak Tammy Abraham.... Ata Conte mwenyew alilia sana Tammy abaki ila board ya chelsea ni washenz sijui shiit...,,,???
 
If you missed C. Palace Vs chelsea match, don't worry here's the highlight
b721bdb38ddadca13652017f7f4599e9.jpg
 
Charles musonda ananikumbusha enzi za baba yake waqt anakipiga Belgium na alipona penye kile kikosi wenzao wakapoteza uhai ufukweni mwa Gabon yeye na kalusha bwalya walikuwa waungane na kikosi huko huko ingekuwa hivyo huyu kinda asingekuwepo duniani mola ana mipango yake.
 
Mourinho parked the bus at anfield.

How did your Lamborghini do against palace?
16200386e7319092a3c16c7a6a486f23.jpg
 
Chelsea and arsenal both loses 1-2 (one two) 1-2 (one two) like some one testing microphone
5fcea3ec70dfcd5b53c32df8940b9945.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom