Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

hamna mechi soft kwenye ligi chochote kinaweza kutokea kumbukumbu nzuri mechi dhidi ya burnley ambayo ilionekana nyepesi kwetu tukafungwa tena nyumbani na ile ya tottenham ambayo ilionekana ndiyo ngumu kwetu tukashinda anyway tuombe mambo yawe mazuri kwetu.
Ni kweli hakuna team ndogo Uingereza ila ni lazima tuonyeshe chelsea fc ni kubwa kuliko wao kama tunautaka ubingwa hizi ndio match ambazo ukipoteza we ubingwa sahau kabisa hao wakubwa unatafuta sare mambo yakiwa magumu
 
Palace wana wachezaji hatari kama tonwsend, puncheon, zaha, cabaye na hawa wana mbio sasa uniambie unaniwekea fabrigas pale kati sikuelewi maana huku kwa beki itakuwa majanga sana
 
f56e79a5206f4398dec110345d14db63.jpg

Beki ambaye kwa sasa unaweza kusema ni beki bora Uingereza kwa sasa
 
Kwa maoni yangu mimi kule nyuma ingekuwa hivi
Rudiger, christiensen, aspiliqueta

Then alonso,luiz,bakayoko,moses

Halafu mbele namaliza na
Hazard, batshuay,pedro

Hapa tutakuwa salama mengine tumuachie conte ila mimi ningepanga hivyo kikosi changu
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Hivi wakuu mechi na man city tuliteleza wapi?, manake nilikuwa sipo
 
Palace wana wachezaji hatari kama tonwsend, puncheon, zaha, cabaye na hawa wana mbio sasa uniambie unaniwekea fabrigas pale kati sikuelewi maana huku kwa beki itakuwa majanga sana
Fabregas ni lazima acheze kwasababu hatuna kiungo mwengine ambae ni senior ukiachilia Bakayoko halafu hatuna kiungo mwengine wa kati mwenye uwezo mkubwa wa kuichezesha timu isipokuwa Fabregas ana jicho la pasi,anajua kutengeneza nafasi anajua kuiendesha timu,mpigaji mzuri wa mipira ya kutenga na anajua kuusoma mchezo kwa haraka zaidi.
 
Hivi wakuu mechi na man city tuliteleza wapi?, manake nilikuwa sipo

Mkuu ile mechi hamkuteleza, ila Man city ndo waliteleza hata wakapata goal moja tu wakati ilikuwa ni mechi ya wao kushinda zaidi ya goli mbili. Mlikuwa na bahati that day.
 
Hivi wakuu mechi na man city tuliteleza wapi?, manake nilikuwa sipo
Kwa mtazamo wangu,kumuingiza Willian badala ya Batshuayi wakati Morata alipotoka kwa majeraha dakika ya 35 ndiyo sababu kubwa kutokana na timu ikakosa namba 9 halisi hivyo mabeki wa kati wa Man City wakawa wanapanda zaidi wakiwa hawana wasi wasi na timu yao kucheza juu zaidi kwani walishajua Chelsea sasa kama itatokea watapata goli basi ni mpira wa adhabu au kona ama la Hazard awapige chenga wachezaji wasiopungua wanne wa Man city na kwenda kufunga kitu ambacho ni kigumu.
 
Mkuu ile mechi hamkuteleza, ila Man city ndo waliteleza hata wakapata goal moja tu wakati ilikuwa ni mechi ya wao kushinda zaidi ya goli mbili. Mlikuwa na bahati that day.
Unaongea kama unajua unachokiongea kumbe hujui. Unadhani ile gemu ilikuwa ni rahisi sana kwa man city? Kama tungeshinda ingekuwaje..
 
tupo mkuu, tunawasubiri palace weekend hii.
sema naona jukwaa la siasa limekuteka. umeweka kambi kwenye jukwaa la akina lizaboni, jingalao, wakudadavua hadi unasahau jukwaa lako pendwa.
Na lile jukwaa lakina Kim Jong in

 
Chelsea Vs Crystal Palace

Key match stats (supplied by Opta)

Crystal Palace have won only one of their previous eight Premier League matches against Chelsea at Selhurst Park (W1 D1 L6), winning 1-0 in March 2014 under Tony Pulis.

Chelsea (421) have won more points in Premier League London derbies than any other side in the competition’s history (P232 W119 D64 L49).

Crystal Palace are currently on the second longest run in minutes without scoring from the start of the season in Football League history (630 minutes) - only Halifax Town in the fourth tier in 1990-91 (730 minutes) had a longer wait to score.

The last top-flight team to lose their opening eight matches of a season were Manchester United in 1930-31, who went on to lose their first 12.

Crystal Palace could become the first team in Football League history to lose nine consecutive games without scoring – on only three other occasions have a team lost eight games in a row without scoring and only once in the top-flight (Sunderland between November 1976 and January 1977).

Chelsea have failed to score in two of their last three Premier League matches under Antonio Conte, as many as in their previous 36. The Blues only failed to score in three of their 38 PL games last season and have already drawn a blank in two of their seven so far this term.

Crystal Palace have an xG total of 8.14 in the Premier League this season, meaning that, based on historic data, the average side would be expected to have scored eight goals from the chances they have been presented. In comparison, Chelsea have scored 12 goals despite having an xG total of just 6.81.

Antonio Conte could become the first Chelsea manager to record two separate winning runs of six-plus Premier League away games (also December 2016), with the Blues winning their last five on the road in the PL.

Roy Hodgson has never lost his first four Premier League games in charge of a team (lost first three with Fulham).

Hodgson could become only the second permanent manager to lose his first four Premier League games in charge of a side without scoring a single goal after his predecessor Frank De Boer. Prior to this season, no permanent Premier League manager had lost their first four without scoring at a club.

Cesc Fabregas (49 goals) could become just the third Spanish player to net 50 goals in the Premier League after Diego Costa (52) and Fernando Torres (85). Fabregas could be the first Spanish midfielder to reach this milestone
 
Chelsea XI v Crystal Palace - Courtois; Azpilicueta, David Luiz, Cahill; Moses, Fabregas, Bakayoko, Alonso; Willian, Batshuayi, Hazard

1511aed744a5582261498ff6c0e16b97.jpg


Chelsea Substitutes v Crystal Palace - Caballero, Christensen, Rudiger, Zappacosta, Scott, Musonda, Pedro
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom