Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sub moja tu ifanyike..MAPEMA...

Toa Willian weka Pedro.
 
Sub moja tu ifanyike..MAPEMA...

Toa Willian weka Pedro.
Mkuu yote kwa yote tuna kikosi kichache hata kocha alilalamika kuhusu hali hiyo lakini hakueleweka.. Tuna safari ndefu mno mwaka huu

Kuumia kwa Ng'olo katikati na Morata pale mbele yamkini tumejionea
 
Wana Chelsea Wala tusiwe na Presha ya league mwaka huu, tujipange Mwakani, maana hata zile timu mbovu ndio zinapata pakutokea darajani?

Mwakani wa kuu
 
Yule kijana wanamwita impadu nafikikiri anaweza sana kuicheza hii namba kama maji hajapona
Bado najiuliza ni kwa nini impadu hajacheza namba ya kante
Match kama hizi zinahitaji watu wa kazi fabrigas sio mtu wa kazi pale katikati
 
Anafanya opponent wanatapa mipira ya kurusha kila mara pia anarudi na kukabia ndani ya 18 kila mara
Asante hapa ndipo anaponiboa sana na sijui kwa nini conte asimweke benchi
Yupo rudiger luiz, aspi au christiensen
Naona anatafuta kufukuzwa huyu
 
Anyway sijaona kosa la Cahill leo aisee.

Tunaona pengo la Morata
Na Kante pale kati pamepwaya sana...kweli Kante anawapa wachezaji wrngi uhuru wa kushambulia
Angempandisha luizi katikati acheze na bakayoko
Lakini leo tumeshafungwa tayari
 
Mkuu yote kwa yote tuna kikosi kichache hata kocha alilalamika kuhusu hali hiyo lakini hakueleweka.. Tuna safari ndefu mno mwaka huu

Kuumia kwa Ng'olo katikati na Morata pale mbele yamkini tumejionea
Sio kweli hata kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom