Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wachambuzi wa soka ktk ligi ya uingereza wanamheshimu conte kuwa ni kocha wa mbinu nyingi MNO za kimpira, atafanya marekebisho ya kimfumo tu na timu itaperform vizuri ktk mechi zinazokuja.
Kumbuka last season, tulifungwa na Liverpool darajani, tulifungwa na asernal, tulipigwa na spurs na tulipigwa na Man united, mbona tulitulia na tukachukua UK premier league.
 
Hivi ndivyo tulivyoumizwa - inauma sana mchezaji tuliyemuuza wenyewe anarudi kutuadhibu kwa style kali. so sad!!

All in all, Conte inatakiwa ajue nan wa kumwanzsha na nan wa kumwingiza kama sub, maana timu ina wacjezaji wazur ila kuwapanga kulingana na timu pinzani ndio ishu.
Mfano kikos alchokipanga mechi ya Stoke kilkuwa sahih sana na hata mech ilikuwa nyepes ingawaje stoke ni wabshi na ikumbukwe waliwatesa sana Arsenal na Man u
Well said...conte ni mbovu mno kwenye game progress...option anayoingia nayo ikibanwa huwa hana mlango mwingne wa kuchomokea....ni more predictable...na wengi washamsoma na kwa sasa ana mechi rundo...kuwatumia wachezaji wale wale mda wote duh...
 
Kwann unamwacha Totenham, naye ni moto wa kuotea mbaali.. baada ya Man Cty
Kwani spur na totenham ni timu tofauti mbona nimewataja kwa jina la spur!
Mi huwa ukisema manure wapo vizuri sijui huwa unamaanisha nini, umewapima kwa kucheza na nani? ........ hao manure sioni hata wakimaliza big4, liva hujawataja hapo ila wapo vizuri kuliko hat hao manure. Hii comment yangu nitaiweka km kumbukumbu kwamba manure ni timu mbovuu! na wala big4 haitakuwemo.
 
Tunarudi ktk ligi kuu uingereza jmosi 14 Oct crystal palace vs Chelsea, 18 Oct Chelsea vs AC Roma, 23 Oct Chelsea vs Watford, 28 Oct Burne Mouth vs Chelsea, 31 Oct AC Roma vs Chelsea. Ili tuweze kuwakaribia Man U na Man City, ni lazima tushinde mechi zote za EPL ZA mwezi huu wa October.
 
Naona OSCAR anataka kurudi darajani kiaina coz kasema atakuwa mwenye furaha akirudi stamford bridge.
hayo yote kayaongea jana akihojiwa na ''premier league brasil''.
 
  • Thanks
Reactions: SIM
ENJOY THE FOOTBALL PREDICTION & BETTING TIPS OF THE MOST BIGGEST LEAGUES TODAY ON BONGOTIPS.COM

DO YOUR KNOW HOW THE BEST WINNING OPTION OF DOUBLE CHANCE MAKES YOU TO ENJOY YOUR DAY, CLICK HERE TO SEE Double chances

18 WON , OUT OF 20 UP TO NOW......
 
Nafikiri ni muhimu SASA kwa conte, ambaye ni kocha nzuri, afanye mabadiliko makubwa kwenye defence aweke WATATU nyuma luis, rudiger na azilicueta, amuweke bench Cahill kwani namuona hayuko vizuri sana na mieldfielders ni fabregas, kante na bakayoko, William na hazard na mbele morata. Kwenye ambazo ni ngumu kama na man united, Liverpool, arsenal, Tottenham na man city, ni muhimu nafasi ya fabregas akacheza drink water ni very compact mildfielder.
 
Endelea kufikiri.
 
ENJOY THE FOOTBALL PREDICTION & BETTING TIPS OF THE MOST BIGGEST LEAGUES TODAY ON BONGOTIPS.COM

DO YOUR KNOW HOW THE BEST WINNING OPTION OF DOUBLE CHANCE MAKES YOU TO ENJOY YOUR DAY, CLICK HERE TO SEE Double chances

18 WON , OUT OF 20 UP TO NOW......
Bossi hili tangazo umelipia?? Chelsea fans tunapataje mgao??

Usituchafulie Uzi aisee
 
Marafiki cante mpaka january msijali lakini hata sisi fellain kaumia,,
Hii michuano ni shida asee.??‍♂️‍♂️

Sisi Fellain Pogba, Fellain, Carrick wapo sidelined, lakini we are still kicking maana kikosi chetu kina depth ya kutosha. Ila dah nawaombea hawa jamaa pamoja na kuwa ni wapinzani ila Kante akiumia Chelsea watapata tabu sana maana pale ndipo zilipo tunguri zote za Conte.
 
inategemea na mechi,Pogba hajacheza mechi kadhaa sasa na mmepata matokeo bila tabu kwasababu hazikuwa ngumu kwenu kiasi cha kum miss Pogba ngoja mechi ya Liverpool ndo mtaona pengo lake.
Vivyo hivyo kwa Chelsea kama Kante hatokuwepo mechi rahisi haina shida wanaweza kucheza Bakayoko na Fabregas pale kati na mambo yakaenda sawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom