Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,943
inategemea na mechi,Pogba hajacheza mechi kadhaa sasa na mmepata matokeo bila tabu kwasababu hazikuwa ngumu kwenu kiasi cha kum miss Pogba ngoja mechi ya Liverpool ndo mtaona pengo lake.
Vivyo hivyo kwa Chelsea kama Kante hatokuwepo mechi rahisi haina shida wanaweza kucheza Bakayoko na Fabregas pale kati na mambo yakaenda sawa.
Duh ila Kante anawasaidia sana forwards aisee.
Sijasoma kwa hakika atakuwa nje muda gani ingawa tukikutana na timu ngumu tutashinda kwa manati aisee.
Kante na Morata out...
Duh! Natumai walau Drinkwater atakuwa kapona basi.