Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Duh aisee...wing ya Alonso ile????

Na sidhani kama kumuweka Azpilicueta alipomuweka ametusaidia. Tulitakiwa tuwe na watu wawili wenye speed upande huo.
 
Mechi ya atletico inatucost sna nhs hila yote lazma nitupate point nyumban
 
Dah, kwa mpira huu wa kujihami namna hii sijui kama tutaweza kufika mbali, timu haishambulii hata kidogo, timu imejaa mabeki na viungo
 
Mara moja moja muangalie mpira kitaalamu na si kishabiki. Leo mmezidiwa,City wako vizuri sidhani kama kuba timu ingeweza kuwazuia leo kwa kiwango hiki.

Im disappointed, I wanted a draw!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom