Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
Leo hakuna kiswahili tumepwaya sana ulinzi, katikati na ushambuliaji. Kwa nini amlete Kalou na si Sturridge ambaye ana kasi na anaendana vizuri mbio na Drogba? au kwa nini hamleti kale ka kijana Ka Joshua au sijui Jeremy?
ndio mpira huo rev lol kama draft tu kocha anaona vingine ,washabiki wanaona vingine.