Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimepita tu kuwapa hii ze bluz, nadhani matokeo yenu na Sunderland mnayo sihitaji kuwapa. Football is not about ball-possession or goal attempts, its about putting the ball inside the net in between the three poles be it an own goal or otherwise. Ndo dakika tisini hizo. Karibuni emirates!

Khe khe kheeeeeeeeeee nasikia Mungiki brother amechukua forced leave khe khe khee wanalialia tu kama kasuku sasa ..... .. Invisible vipi kaka mambo mswano? Teachers fake leo hainyweki ... ...

Toto tundu liko hapa chini:

sunder-splash_1164190a.jpg

Khe khe kheeeeeeeeeeeeee
 
Kwasa Wacha na Mbu,

Tunakubali leo tulitokea uwanjani bila madhumuni wala lolote, tunastahili hicho kipigo cha aibu na hakuna kuleta vijisababu vya kijinga au kulaumu refa. Ni sisi wa kujilaumu na hii it better becomes a wake up call! Carlo alisema January habadilishi mtu, he may need to think again! We need strong defense minded midfield. Leo kocha wa Nigeria keshaingia akilini mwa Mikel anadai eti mpira wa dogo unashuka... go figure.. naye ka Ramirez sijui tukashindilie Ugali na Mbaazi avimbishe misuli or what, ni udhaifu mtupu.

I miss Ricardo Cavallho, Deco, Ballack and may be to some extent Joe Cole, watu wa kiujituma.
 
mie sio mshabiki wenu lakini kitendo cha kumtosa wilkins kwa njia hile kiliniuma sana.

...yaani wewe umeumia kama mimi japo sio mshabiki wa Chelsea,...
Kuna kipindi nilidhani hatutowapata walivyotuachia vumbi, lakini kidogo kidooogo naona wanazidondosha points!
Poleni sana watani!
 
Kwasa Wacha na Mbu,

Tunakubali leo tulitokea uwanjani bila madhumuni wala lolote, tunastahili hicho kipigo cha aibu na hakuna kuleta vijisababu vya kijinga au kulaumu refa. Ni sisi wa kujilaumu na hii it better becomes a wake up call! Carlo alisema January habadilishi mtu, he may need to think again! We need strong defense minded midfield. Leo kocha wa Nigeria keshaingia akilini mwa Mikel anadai eti mpira wa dogo unashuka... go figure.. naye ka Ramirez sijui tukashindilie Ugali na Mbaazi avimbishe misuli or what, ni udhaifu mtupu.

I miss Ricardo Cavallho, Deco, Ballack and may be to some extent Joe Cole, watu wa kiujituma.

Camerlengo

Unasahau kitu kimoja Chelsick ni mafia team, unakumbuka jinsi Gullit walivyomtosa? Tabia kama ni ya wizi kama mkwere haiwezi kubadilika ni wewe pamoja na washabiki ambao wanaweza kubadilika sio mafia team.

Hili jukwaa halifai kwa muda! I hate my team kama ninavyomchukia Mkwere na serikali yake. Hebu CHADEMA leteni raha kwa muda
 
Blue sunday ... ... Acheni lote vipi? ..... ...... ....Jamani hata Mungiki brother mnampa likizo
wakati kama huu? Iba muda kidogo uweke nondo hapa khe khe kheeeeeeeee

Oooops siyo likizo ni self imposed ban khe khe kheeeeeeeeeeee endeleeni kuchungulia tu
 
dahhh imeniuma sana hii kitu..wacha nitulie tu ..daaaah yaani hichi ki RAMIREZ sijui tukishindilie makande kikomae..yaani bana aaagh ..they spoilt my weekend
 
article-0-0C125BDB000005DC-766_468x303.jpg

Wajua hii recession itatuumiza sana mwaka huu, Chijui huu umafioso wetu kama
kweli tutafika maana tuna gurupu la mapensioners hapa!
Ule mpunga wa kuwapa ma-referee haupo tena du! makubwa haya

Chacha chijui kama watanitosa na mimi?

Chelsea-v-Sunderland-Boudewijn-Zenden-Nicolas_2527340.jpg

Chelsea-v-Sunderland-Jordan-Henderson_2527360.jpg

Shhhh usimwambie Invisible nilikuwepo uwanjani ... ....... Jordan Henderson huyo

Chelsea-v-Sunderland-Nedum-Onuoha-scores_2527380.jpg

Nedum Onuoha anauliza wapi Petr Check ..... upo hapo ..... ...... .Angalia Rev Masanilo mwenzako Peasant kakimbia .... ...

Chelsea-v-Sunderland-Asamoah-Gyan-Jordan-Hend_2527399.jpg

Nawe Asamoah Gyan vipi ungesubiri ujumbe umefikisha? Siyo mbaya nasikia Abraham O Vick kaumia mguu alijaribu ati kuzuia mpira usiingie golini akagonga meza khe khe kheeeeeeeeeee

Chelsea-v-Sunderland-Steve-Bruce-celeb_2527403.jpg

Those are my boys ... ..... .... ... hala hala Mungiki brother usije ukajiua tu huko Kenya kwenye forced ban ... .....

Chelsea-v-Sunderland-Ramires-woe_2527400.jpg

Hii noma sasa kumbe Premier League siyo Chandimu! ... Ramires ...

Chelsea-v-Sunderland-Danny-Welbeck-celeb_2527417.jpg

Danny Welbeck alikuwa kwenye party na Cash Cole Jumamosi wakakubaliana muafaka kama ule wa Zanzibar khe khe kheeeeeeeeeeee

Chelsea-v-Sunderland-Michael-Turner-Petr-Cech_2527418.jpg

Petr Cech baada ya kusalimu amri kutoka kwa Kamanda Michael Turner

Chelsea-v-Sunderland-victory-celeb_2527414.jpg

Duh! Uzee mbaya nimechoka kweli kweli Kama Abraham amefilisika aseme tu mimi nita-retire soon ..... ... kuliko hii fedheha
 
OK gobby Arse! Tunajua leo ni bank holiday huko Islington, kila Chelsea ikifungwa ni mapunziko ya kitaifa especially kwa Fat Arse fans.
 
Nimependa Zenden alivyocheza kiwazenza na Asamoah jana baada ya Asamoah kufunga bao la 2.

Halafu jamaa anaonekana ni mwanamuziki kabisa check hii nayo

Last edited by a moderator:
Ab-Tichaz na Invisible wako wapi?

Unauliza majibu Mungiku brother on forced leave ... ... Ooooops self imposed ban, Invisible yuko anga za siasa hawezi kuacha hii kitu iende kiholela maana manyang'au hawakawii kuleta virusi ....khe khe kheeeeeeeee
 
Halafu jamaa anaonekana ni mwanamuziki kabisa check hii nayo

RayB

Naona unaendeleza matanga tu hapa hivi walianza Loserfools kuwapachika magoli chacha tunasubiri matanga yaishe lakini shida kubwa ipo mpunga kwishnei ... ...
 
Last edited by a moderator:
RayB

Naona unaendeleza matanga tu hapa hivi walianza Loserfools kuwapachika magoli chacha tunasubiri matanga yaishe lakini shida kubwa ipo mpunga kwishnei ... ...

Na hivi karibuni wataanza kuboronga Champions League Wacha1 hawa siwaachi mpaka wakiri kuwa wao ni wazee aka pensioners
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom