eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Kesho hiyo katika dimba jipya la atletico madrid
atletico wamekuwa wanatusumbua sana vijana inabidi wakomae![]()
Utabiri wako kwa kesho
droo njema zaidi![]()
Utabiri wako kwa kesho
Ushindi haiwezekani?droo njema zaidi
Naamini tutatoka na pointi tatuatletico wamekuwa wanatusumbua sana vijana inabidi wakomae
Ushindi unawezekana ila Atletico anakamia sana afu lazima atumie advantage ya home draw sio mbaya sanaUshindi haiwezekani?