Peasant
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 3,949
- 699
Machine yake haipo powa ila analia sana sana ! lol
Ukiona hivyo mwizi huyo, anajitia kulia ili upande dau zaidi....haibiwi mtu hapa.
Machine yake haipo powa ila analia sana sana ! lol
Jaman gem ya jan sikuiona nilipata ajali lakin sikuumia gar ndo ilialibika sana mechi ulikuaje japo tulishinda
Kweli Chelsea kiboko!aminia baba, msimu huu wapinzani mna kazi!nimeipenda combination ya Obi Mikel, Essien na Ramirez!
Mnasemaje wapenzi?
Jibu litapatikana hapohapo ila sasa hivi vijana wapo full.Akirudi Lamps nani ataenda bench?
Akirudi Lamps nani ataenda bench?
Jibu litapatikana hapohapo ila sasa hivi vijana wapo full.
Game over 2-0 Chelsea. Nine points in the bag, ni kama tumeshaqualify tayari.
Nimependa sub za Carlo .....teenagers!
Nice!GUUS APITA DARAJANI KUTUPA HI...!!!
View attachment 15922
Akipia story na washakaji zake wa zamani
View attachment 15923
Gonga hapa kwa full story