Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,266
Andrey Arshavin tackles Michael Essien.
Am making love with Invisible is so sexy anakatika sana huyu demu!
Shhh....shhhh Drogba is coming, Alex is coming... shh
Mkuu wewe mpira wa kusimuliwa au kuuona?
Ab-Titchaz naomba pichaz ila mziweke kwenye forum ya Arsenalk wana kera sana hawa!
4 good points clear...on top!
We are Champions already. Every one else is just playing for a second place!!
Kama ni chandimu!
Am making love with Wacha1 is so sexy anakatika sana huyu demu!
Wala msipige ukelele kama tulivyoona mechi mmebebwa na referee iwaje mfanye fujo nyie na adhabu mpewe nyie. Unless kama ulikuwa unasimuliwa huu mpira.
Taliban supporter na padri bandia leo wamefufuka. Sijui huyu mwingine tumrudishe kwa Mungiki brothers. Kwa kubebwa ni lazima mshinde sasa Chijui kama huyo Dean mtampata kila mechi kwa sababu mwaka huu kila mnakokwenda mtabeba matanga tu khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Thats the only thing Mafioso team can think off. hamuwezi hata kuwafikia Arsenal pale walipo ni donge tu mnalo kooni. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeee
BTW ingekuwa mwingine hapa kaandika hivyo mngemfungia lakini kwa sababu ya uhavidhina, shukuruni JT kauza unga wa kutosha na kutoa hongo. Khe kheeeeee
Tuwekee picha basi jinsi unavyo m ba shi a
Hahahahahahahahaha! Yuko poa, au mimaji kibao? Lakini najua anajua kulia sana!