Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Exactly , nilikuwa na prove point hapo juu kuwa kutoa pesa nyingi kununua mchezaji hakumaanishi hawezi kuwa flop/ garasa .. Kila timu kubwa hapo epl imeshawahi kununua wachezaji kwa pesa nyingi na wakishia kuwa magarasa tu, kwa hiyo chelsea kutaka kutoa pesa nyingi kumnunua OX au Barkley hakuna maana wasingeweza kuwa magarasa. Hivi ukimkosa kumsajili OX au huyo Barkley unajutia kweli !!! Wangeongeza ukubwa wa benchi la substitutions ila sio quality ya kikosi tulichonacho sasa
Torres hakuwai kuwa garasa sema magoli yalimkataa lakininkatika rolle ya timu alicheza vizuri
Na kikubwa alilipa deni lake kwa lile bao dhidi ya barcelona semi final ya uefa lilikuwa £50m goal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui una define vp "garasa" ila ukinunua striker wa 20+ goals kwa msimu unategemea kupata 20+ goals kwa msimu, sasa akishuka akawa- 10goals kwa msimu kwangu naona kawa "garasa"
 
CHELSEA PESA IMETOKA NYINGI AF SIJAONA USAJILI WAMAANA
TUSIPOCHUKUA KOMBI BOLA CONTE ASEPE2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • Screenshot_2017-09-01-13-17-22.jpeg
    Screenshot_2017-09-01-13-17-22.jpeg
    57.2 KB · Views: 34
CHELSEA PESA IMETOKA NYINGI AF SIJAONA USAJILI WAMAANA
TUSIPOCHUKUA KOMBI BOLA CONTE ASEPE2

Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea imetengeneza zaidi ya 100£+ millions kwa kuuza wachezaji , kwa hiyo net expenditure yake ni around 70£ +millions wakati timu kama Man U wametengeneza 7£ tu kwa mauzo, kwa hiyo kimsingi Man U wametumia mara mbili zaidi ya chelsea kwenye dirisha hili la usajili : (hapo hatujahesabu mauzo ya oscar around 60£ millions kwenda china mwishoni mwa mwaka jana) [HASHTAG]#FACT[/HASHTAG]
 
CHELSEA PESA IMETOKA NYINGI AF SIJAONA USAJILI WAMAANA
TUSIPOCHUKUA KOMBI BOLA CONTE ASEPE2

Sent using Jamii Forums mobile app
boss ulitaka chelsea wawalete ronaldo na mesi ndo useme wamesajili? chelsea wanakikosi kizuri sn kilichohitajika ni kuongeza baadhi ya wachezaji wachache tu ili waweze kukabiliana na mashindano mengi zaidi ya msimu uliopita. first eleven ya chelsea ni nzur sn na ndo mana wachezaji wengi waliotaka kusajiliwa walikataa kuja wakijua watasugua bench..naamini hakuna timu england ya kuisumbua chelsea
 
Nimeliona hili mkuu ila kuna match bakayoko atakuwa wa muhimu na kuna mechi drinkwater atahitajika ila wote watatu yaani kante.bakayoko na drinkwater wanaweza kucheza pamoja
Uzuri wa drink na bakayoko ni wafungaji wazuri pia tena hasa drinkwater akiwa nje ya kumi na nane muogope sana anafumua sio mchezo

Mi naamini kuna zile match ngumu tutakuwa tunawahitaji kante, bakayoko,na drinkwater kwa pamoja

Moses pia naona akipoteza namba kwa zappacosta huyu mwanaume dimbani sio wa kawaida anapanda na kushuka bonge moja la beki
Nilikuwa simfatilii huyu zappacosta japo mara moja moja kwa bahati mbaya nilishawah kuona mechi zake 2 tu niwe mkweliiii....

Sema tangu afike darajani kumekuwa na maswalii kibao kwa ambao walikuwa hawamjui kama mm kivilee...nikaona sio kesiii nkazama youtube make wazungu washatufanyia uwepesiii nilichokiona naunga mkono hoja yako Mosses awe makini yale masihali ya kukosa mood na mechii yatamponza .....

Zappacosta yuko vuzur kupanda na kushuka na anakuwa mzuri zaidi akiamua kucheza nje kabisa ...

Sasa kule Alonso huku zappacosta katikati mashutii ya Mnyweshamajiii.....chelsea utaipendaa

Namuona tukimaliza kwa pongezii nyingiii kwakee
a405fb5310760debb120912b30989861.jpg
 
boss ulitaka chelsea wawalete ronaldo na mesi ndo useme wamesajili? chelsea wanakikosi kizuri sn kilichohitajika ni kuongeza baadhi ya wachezaji wachache tu ili waweze kukabiliana na mashindano mengi zaidi ya msimu uliopita. first eleven ya chelsea ni nzur sn na ndo mana wachezaji wengi waliotaka kusajiliwa walikataa kuja wakijua watasugua bench..naamini hakuna timu england ya kuisumbua chelsea
Ndounavyojidanganya boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom