mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,791
Si umeona leo mzee.tusiwe na presha nae.goli analijua ni kumuwekea tu.afanye yake.Na yeye ajiaminii
Sent using Jamii Forums mobile app
Si umeona leo mzee.tusiwe na presha nae.goli analijua ni kumuwekea tu.afanye yake.Na yeye ajiaminii
Kweliiii ila azidii kujiaminiiiSi umeona leo mzee.tusiwe na presha nae.goli analijua ni kumuwekea tu.afanye yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina wasiwasi na hiloooHuu ubingwa ni wetu chelsea tena
Anaebisha ameze wembe
KabisaSina wasiwasi na hilooo
Vip hapo ulipo kuna usalamaAll the best wakuu....niko pamoja nanyi ingawa nitakuwa nashangilia Everton kwa moyo wangu wote
Come On Toffees....!
Yan chesshit kwakujifarijiHuu ubingwa ni wetu chelsea tena
Anaebisha ameze wembe
AHSANTE kwa kulitambua hilo. Upo tofauti na mwenzako kurya aliyesema Morata hata funga hata goli moja.Huyu Morata atafikisha magoli 30 msimu huu...
Yan chesshit kwakujifariji
Kwamchezo ule kama majimaji fc nakuapia amna chenu hata big4 hampo
Mark my words
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hawatoamini yan...Mkuu Atletico sio wale unaowajua, sasa hivi tutawapiga kama watoto
Watakuja kuamini siku zimeishaNiliwahi kusema sina wasiwasi na morataaa
Ni bonge la striker
Sawa. Haya maneno yenu tuyazoea.Yan chesshit kwakujifariji
Kwamchezo ule kama majimaji fc nakuapia amna chenu hata big4 hampo
Mark my words
Sent using Jamii Forums mobile app
Hazard akirudi Pedro naona atakuwa anaanzia benchi tu